Huyu Mtangazaji Scola Kisanga wa Kipindi cha DADAZ cha EAtv ana Wanaume / Mabwana wangapi hadi hivi sasa?

Huyu Mtangazaji Scola Kisanga wa Kipindi cha DADAZ cha EAtv ana Wanaume / Mabwana wangapi hadi hivi sasa?

Ninachojua 100% ya Wanadamu ' naturally ' ni Wambea labda hapa sasa unataka Kutuambia kuwa kuna uwezekano mkubwa Mwenzetu Wewe ukawa siyo Binadamu bali ni ' Lidudu ' fulani hivi kama siyo ' Jini ' pia.
Slow down mkuu
 
Niliona kipindi chao cha lini sijui huwa siwafuatilii sana, walimualika dokta fulani wa kike azungumzie madhara ya kufanya ngono kinyume na maumbile nasikitika hata body language zao hazikuonesha uzito wa jambo husika,na hata dokta pia alikua shallow sana sijui kasoma chuo gan,
 
Kipindi ni kizuri sana na scolar ni mtu machangamfu na muongeaji mzuri tatizo la Scloalar ni moja tuu anaongea mnoo kupitiliza na analeta personal issues zake mbele ya watazamaji. Mafano alishasema alikua anatoka na mume mtu na haoni kama ni shida yy kwake ni kawaida tuu. Siku ya bday yake aliweza kuongelea tofuti iliyopo kati yake na mama yake kwamba hajamlea na hakuwa anampenda mpk leo hampendi kama binti yake ikapelekea na yy kutompenda pia. Katika mazungumzo yake huwa anamtaja sana baba yake kuwa ni mtu wa muhimu na bibi yake. Mimi kwa upande wangu hizi ni personal issues. Mara anawasema rfk zake sasa inamaana hawajijui? Mara jirani zake. Na anapenda sana kulia. Sasa sijui ni matatizo ya kisaikolojia?? By the way ni bonge la mtangazaji ana sauti nzuri ya kutangaza
 
Acha wivu wewe, kama unaona anafaidi na wewe tafuta mabwana tu.
 
Anatafuta kujulikana kwa nguvu ndo wanaita KIKI.
Mara nyingi tu huwa anazozana na mashabiki zake huko insta hasa wanamnanga eti ana machunusi na ni limbukeni huko mjini kwenu kwa Libashite.
 
Sana tu.. Na anatumia nafasi ya hapo alipo kuanza kuwasema vibaya wanaume aliopita nao na hata rafiki zake wa kike
Ingawa anasema sitawataja kwa majina.. Huoni kama kuna tatizo linamsumbua huyo.. Kiukweli wanafanya kipindi kiwe kama saloon zao ingawa kinaelimisha jamii kiupande fulani na watazamaj ni wengi hata hivyo anajidharililisha
Hakuna mwanaume atakauemsikia anasema hayo halafu amtafute anzishe naue mahusiano.. Anajipaka tope mwenyewe

Uko sahihi kwa 100% Mkuu na ndiyo maana hata Mimi nimeshangaa halafu nimesikitika pia kwani huenda Yeye akadhania kuwa ni Sifa lakini ' on the other hand ' naona ni kama vile anajidhalilisha na anajichoresha mno. Hivi ni Mwanaume gani leo hii aliye makini akimsikia kila uchao / siku anafanya tu ' references ' za Wanaume mbalimbali aliwaowahi kuwa nao halafu nae ' akajilipua ' hapo hapo? Labda awe ni Mwanaume ' Popoma ' na nadhani hao ndiyo wengi ambao huwa anawapata kama siyo anawabahatisha. Abadilike kwakweli kwani hajachelewa huyo ' Miss Mbokomu ' Wenu Scola Kisanga.
 
Kipindi ni kizuri sana na scolar ni mtu machangamfu na muongeaji mzuri tatizo la Scloalar ni moja tuu anaongea mnoo kupitiliza na analeta personal issues zake mbele ya watazamaji. Mafano alishasema alikua anatoka na mume mtu na haoni kama ni shida yy kwake ni kawaida tuu. Siku ya bday yake aliweza kuongelea tofuti iliyopo kati yake na mama yake kwamba hajamlea na hakuwa anampenda mpk leo hampendi kama binti yake ikapelekea na yy kutompenda pia. Katika mazungumzo yake huwa anamtaja sana baba yake kuwa ni mtu wa muhimu na bibi yake. Mimi kwa upande wangu hizi ni personal issues. Mara anawasema rfk zake sasa inamaana hawajijui? Mara jirani zake. Na anapenda sana kulia. Sasa sijui ni matatizo ya kisaikolojia?? By the way ni bonge la mtangazaji ana sauti nzuri ya kutangaza

Ukiona hadi GENTAMYCINE nakuja Kumsiliba / Kumnanga Mtu hapa jua ya kwamba tayari kwa 99.9% nimeshamfuatilia, nimeshamchambua na nimejiridhisha pasipo na shaka kuwa ana matatizo au kuna tatizo na sijaanza leo kuwasema hasa hawa Watangazi wa hizo Media kubwa za Tanzania kwani nilishawahi ' kuwanyoosha ' Watangazaji wa TBC1, ITV, Clouds Tv na Magic fm pia na ninachoshukuru tu ni kwamba wote ambao ' niliwananga ' hapa JamiiForums kwa madhaifu yao sasa wamebadilika na wanafanya vyema. Sitochoka katika ' Kuwanyoosha ' ili angalau basi kidogo warudi katika mstari. Na siri kubwa japo najua Wao au wengi Wao hawajui ni kwamba ukiona nakusema jua ya kwamba kwa 100% nakukubali na nakubali mno Kazi yako na Utendaji wako hivyo nikiona Kasoro kadhaa Kwako ambazo najua usipozigundua mapema zitakuharibia basi ndipo huwa nawahi ' Kukushtua ' kama hivi.
 
Acha wivu wewe, kama unaona anafaidi na wewe tafuta mabwana tu.

Ni kweli na uko sahihi Mkuu kuwa anaongoza ' Kugombana ' na ' Followers ' wake huko katika ' Instagram ' page yake na nakumbula kuna Siku moja alizinguana na Mtu huko huko Jamaa akapiga ' Ikulu ' kabisa kwa kumwambia kuwa ana ' Machunusi ' makubwa kama Fenesi lililoiva kitu ambacho kilimuumiza mno Mtangazaji huyu Scola Kisanga hadi akaja Kukisema hapo katika Kipindi DADAZ. Ukitaka umkoseshe raha au amani Wewe mgusie tu zile ' Chunusi ' zake kwani kama kuna Kitu ambacho kinamuumiza Yeye hadi kumkosesha raha ni zile ' Chunusi ' zake na unaambiwa anazigharamia kwa dawa za kila aina tena zingine hadi kutoka Ng'ambo / Ulaya lakini bado ' Chunusi ' zimemgomea na nadhani sasa zimeshamwambia kuwa hazitoondoka tena hapo Usoni mwake / kwake.
 
Huyu dada ni malaya mno nilimfahamu toka wakati anafanya kazi iringa yupo kimaslahi zaidi ameambulia kuambukizwa chunusi konki zisizosikia dawa hata za dk sigwa.
 
Wekeni picha yake

Hakikisha leo Saa 2 Kamili unatizama marudio ya hicho Kipindi chao cha DADAZ kupitia EAtv na utawaona Wadada Watatu ( 3 ) ila wa katikati ndiyo mwenyewe Scola Kisanga na kama utashindwa Kumtambua kwa haraka sana basi ukiona tu Camera zao zime ' zoom in ' au kuwafanyia ' close up ' mmoja mmoja angalia ambaye Uso wake una Mafuriko ya Kutukuka ya ' Chunusi ' basi ujue kuwa huyo ndiye mwenyewe Miss Mbokomu. Kipindi chao huwa kipo kila Weekdays Saa 5 hadi Saa 6 na marudio yake ni Weekdays tena Saa 2 hadi Saa 3 japo hata kwa Siku za Weekends huwa kunakuwa na marudio yao vile vile japo kwa huko sikumbuki mida yake.
 
Mkuu ni Bora usimuone hata sura yake maana ukimuona utajuta kwanini umepoteza muda kumuona.. 😁😁
Nasikia ni mtu wa machame
IG anatumia adope Photoshop nazani ila kisura-sura zipo kama uwele kwa wanaoufahamu
 
Huyu dada ni malaya mno nilimfahamu toka wakati anafanya kazi iringa yupo kimaslahi zaidi ameambulia kuambukizwa chunusi konki zisizosikia dawa hata za dk sigwa.

Nasikia kwamba kwa rekodi yake ilivyo mbaya na aliyokuwa nayo huko Mkoani Iringa hasa ya ' Kuwachukulia ' wenzake Waume / Mabwana japo Yeye binafsi amekuwa akikataa katakata na kuruka Kimanga Wanawake wengi wakimuona tu yupo huko ' Unyalukoloni ' basi huwafungia kabisa Waume zao ndani au huambatana nao ng'adu kwa ng'adu kama vile Beki Marehemu Chama na Mshambuliaji Mogella kama sehemu yao ya Kuwalinda na Kukabiliana nae.
 
Yaani tokea nianze kumsikia na kumfuatilia Yeye kila siku tu utamsikia anafanya ' reference ' kuwa alipokuwa na Mwanaume fulani mara huku na kule hadi najiuliza mpaka hivi sasa ameshawahi kutembea ( Kubanduliwa ) na Wanaume wangapi labda?

Nina muda wa Miezi miwili sasa tokea nianze Kukitizama hicho Kipindi chao ( kwani huwa kina mambo mengi tu mazuri ya Kujifunza hata kwa Sisi Wanaume juu ya Kuishi na hawa Wadada / Wapenzi wetu ) ila amekuwa akiniacha hoi pale ambapo kila ikiibuliwa tu mada fulani utamsikia akisema namnukuu.." Mimi niliwahi kuwa na Mwanaume fulani hivi ". Kwa kumbukumbu zangu hadi hivi sasa huyu Mtangazaji ameshataja idadi ya Wanaume 62 aliowahi kuwa nao.

Je huwa anafanya tu hizo ' references ' zake za Wanaume kama tu ' Kunogesha ' Kipindi chao Kizuri cha DADAZ au anamaanisha na kwamba ni ukweli kwamba Yeye ni Mtu wa kuwa / kutoka na Wanaume mbalimbali ndani na nje ya Tanzania? Kama huwa anatania au anamaanisha mwambieni au mshaurini kuwa ' anajiharibia ' na haijakaa vyema Kwake na anaweza tu akatumia aina nyingine ya ' Uwasilishaji ' wake.

Nawasilisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpaka hivi sasa ametaja wanaume 62 aliowahi kuwa nao. Wewe jamaa yaani wewe unahesabu tu?. Kuna uwezekano mkubwa ananogesha tu kipindi,kwamba anajaribu kuziwasirisha hali halisi za wanaume tofauti tofauti (japo mimi sio msikilizaji wa hicho kipindi). Lakini inaweza kuwa fasihi wasirishi. Hata hivyo inaonekana wewe unamzi100
 
Nasikia kwamba kwa rekodi yake ilivyo mbaya na aliyokuwa nayo huko Mkoani Iringa hasa ya ' Kuwachukulia ' wenzake Waume / Mabwana japo Yeye binafsi amekuwa akikataa katakata na kuruka Kimanga Wanawake wengi wakimuona tu yupo huko ' Unyalukoloni ' basi huwafungia kabisa Waume zao ndani au huambatana nao ng'adu kwa ng'adu kama vile Beki Marehemu Chama na Mshambuliaji Mogella kama sehemu yao ya Kuwalinda na Kukabiliana nae.
Alishafanyiwa umafia na jamaa mmoja hatokaa hasahau maisha yake yote, alikuwa na mahusiano na mwanaume ambae ana urafiki na mwanaume mwingine ambae pia ni bwana wake alipelekwa bar akanyweshwa K vant za kutosha bila kuchanganywa chochote kwa lazima na kichapo juu mida ya saa nne usiku wakampakia kwenye gari na kuondoka nae kilichoendelea hatujakijua mpaka waleo.
 
Back
Top Bottom