Distant Relatives
JF-Expert Member
- Nov 21, 2020
- 415
- 731
Katika kutafuta tafuta station, nimejikuta niko cloudsfm. Kipindi kinaitwa ala za roho. Kitambo kidogo, nilikua nasikiliza kipindi kiss fm chini ya Toby the splash. Yule presenter alikua na utangazaji usiokera. Sasa hapa nimemsikia mtangazaji wa hiki kipindi, kwa mujibu wa jingle, anaitwa Mojay. Aise, Nimeshindwa muelewa huyu mtangazaji. Anajitahidi kuremba sauti inakera na kuchukiza. Ni mwanaume anatangaza kwa matamshi ya kike. Ninajiuliza hii ndio inatakiwa mtangazaji kuwa kwa kipindi kama hicho?