Huyu mtangazaji wa ala za roho, vipi?

Huyu mtangazaji wa ala za roho, vipi?

Distant Relatives

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2020
Posts
415
Reaction score
731
Katika kutafuta tafuta station, nimejikuta niko cloudsfm. Kipindi kinaitwa ala za roho. Kitambo kidogo, nilikua nasikiliza kipindi kiss fm chini ya Toby the splash. Yule presenter alikua na utangazaji usiokera. Sasa hapa nimemsikia mtangazaji wa hiki kipindi, kwa mujibu wa jingle, anaitwa Mojay. Aise, Nimeshindwa muelewa huyu mtangazaji. Anajitahidi kuremba sauti inakera na kuchukiza. Ni mwanaume anatangaza kwa matamshi ya kike. Ninajiuliza hii ndio inatakiwa mtangazaji kuwa kwa kipindi kama hicho?
 
Nenda wewe ukatangaze.

Nimesikia una kadiploma! Kanatosha.
 
Bado mnasikiliza radio?..
Yeah!

Vipo vipindi siwezi acha sikiliza baadhi ni hivi Utafiti wa muziki cha masoud masoud, wosia wa baba, kipindi cha taarabu asili & stimella vyote tbc. Hoja yangu, hizi nazo na afro tz vya radio one. Groove back, mamaland& Powerbreakfast vya clouds.
 
Katika kutafuta tafuta station, nimejikuta niko cloudsfm. Kipindi kinaitwa ala za roho. Kitambo kidogo, nilikua nasikiliza kipindi kiss fm chini ya Toby the splash. Yule presenter alikua na utangazaji usiokera. Sasa hapa nimemsikia mtangazaji wa hiki kipindi, kwa mujibu wa jingle, anaitwa Mojay. Aise, Nimeshindwa muelewa huyu mtangazaji. Anajitahidi kuremba sauti inakera na kuchukiza. Ni mwanaume anatangaza kwa matamshi ya kike. Ninajiuliza hii ndio inatakiwa mtangazaji kuwa kwa kipindi kama hicho?
Kumbe jibu unalo unauliza nn? Umeshika mkia wa mbwa then unatuuliza eti kalio liko wapi..!!!!
 
Katika kutafuta tafuta station, nimejikuta niko cloudsfm. Kipindi kinaitwa ala za roho. Kitambo kidogo, nilikua nasikiliza kipindi kiss fm chini ya Toby the splash. Yule presenter alikua na utangazaji usiokera. Sasa hapa nimemsikia mtangazaji wa hiki kipindi, kwa mujibu wa jingle, anaitwa Mojay. Aise, Nimeshindwa muelewa huyu mtangazaji. Anajitahidi kuremba sauti inakera na kuchukiza. Ni mwanaume anatangaza kwa matamshi ya kike. Ninajiuliza hii ndio inatakiwa mtangazaji kuwa kwa kipindi kama hicho?

Kuna mwingine aisee wa zanzibar alikuwa anatangaza kipindi cha heart 2 heart aiseee sauti kama Delicious.
 
Back
Top Bottom