Distant Relatives
JF-Expert Member
- Nov 21, 2020
- 415
- 731
Diva ameondok clouds tangu mwaka janakumbe wamemtoa diva! anyway wanaume wa dar hao.kuna mmoja anasemaga 'mambo ya fashioooni ati'
Radio ndio primary means mzee.. siwezi kaa bila redio.Bado mnasikiliza radio?..
Wewe una shahada utafaa zaidi.Nenda wewe ukatangaze.
Nimesikia una kadiploma! Kanatosha.
Yeah!Bado mnasikiliza radio?..
Hapana kaka.Diva ulikuwa unamsikiliza?
Ushetwani ndio nini kaka?Sikiliza radio imani mkuu upate afya ya roho epuka ushetwani
Kumbe jibu unalo unauliza nn? Umeshika mkia wa mbwa then unatuuliza eti kalio liko wapi..!!!!Katika kutafuta tafuta station, nimejikuta niko cloudsfm. Kipindi kinaitwa ala za roho. Kitambo kidogo, nilikua nasikiliza kipindi kiss fm chini ya Toby the splash. Yule presenter alikua na utangazaji usiokera. Sasa hapa nimemsikia mtangazaji wa hiki kipindi, kwa mujibu wa jingle, anaitwa Mojay. Aise, Nimeshindwa muelewa huyu mtangazaji. Anajitahidi kuremba sauti inakera na kuchukiza. Ni mwanaume anatangaza kwa matamshi ya kike. Ninajiuliza hii ndio inatakiwa mtangazaji kuwa kwa kipindi kama hicho?
Deo Kithama😂😂😂 yule yuko upande wa pilikumbe wamemtoa diva! anyway wanaume wa dar hao.kuna mmoja anasemaga 'mambo ya fashioooni ati'
Takbiiir.Sikiliza radio imani mkuu upate afya ya roho epuka ushetwani
Katika kutafuta tafuta station, nimejikuta niko cloudsfm. Kipindi kinaitwa ala za roho. Kitambo kidogo, nilikua nasikiliza kipindi kiss fm chini ya Toby the splash. Yule presenter alikua na utangazaji usiokera. Sasa hapa nimemsikia mtangazaji wa hiki kipindi, kwa mujibu wa jingle, anaitwa Mojay. Aise, Nimeshindwa muelewa huyu mtangazaji. Anajitahidi kuremba sauti inakera na kuchukiza. Ni mwanaume anatangaza kwa matamshi ya kike. Ninajiuliza hii ndio inatakiwa mtangazaji kuwa kwa kipindi kama hicho?