Huyu mtangazaji wa Azam tv anayetangaza mpira baina ya Simba na URA ni hovyo hawezi kuwataja wachezaji wa URA anaishia kusema haya unapigwa kule mbele mpira, unapelekwa kule mbele, unapandishwa kule juu sasa mpira umeanza kwa taratibu yaani anaudhi.
Kuna yule mtangazaji Twalib Omary huyu jamaa usiombe atangaze mechi kati ya Yanga na timu yoyote ile unaweza ukatoa saut kabisa, Afadhali kidogo Hassan Mvula namuelewa anapotangaza mpira.