GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Huyu mtangazaji wa Azam tv anayetangaza mpira baina ya Simba na URA ni hovyo hawezi kuwataja wachezaji wa URA anaishia kusema haya unapigwa kule mbele mpira, unapelekwa kule mbele, unapandishwa kule juu sasa mpira umeanza kwa taratibu yaani anaudhi.
Inawezekana Allowance Ya Kuwataja Hao Wachezaji Wa URA Hajalipwa Bado. Vuta Subira!