Wanajamvi,Leo natoa dukuduku langu hasa kwa mtangazaji VYONA KAMUNTU Wa star Tv,apunguze malingo na kujisikia pale anapokuwa Anatangaza pale Luninga ya star Tv,kwani anajibinuabinua utadhani kuna Mtu Ana mlingishia sura yake,Ajirekebishe ,mbona watangazaji wenzake wanatangaza vema?au anajiona kuwa yeye ni mrembo zaidi?Anakera sana huyu Dada,

Angalia !, Watu wasije kusema ni katusi.
Mmh! lakini... tuache masihara, katoto kale kazuri aisee!.
Mmmmh kataka kunisababishia kununiwa asubuhi kwa swaga zake!!!!
umeona eeh! Kazuri kweli mpaka unavutiwa kuangalia taarifa ya habari.
Huenda umechelewa, ebu kaangalie vizuri vidoleni, naona kama pete hivi tena kwenye kidole maarufu kama chapete.We acha tu asee!. Nikisikia kameolewa roho itaniuma sana.
Wanajamvi,Leo natoa dukuduku langu hasa kwa mtangazaji VYONA KAMUNTU Wa star Tv,apunguze malingo na kujisikia pale anapokuwa Anatangaza pale Luninga ya star Tv,kwani anajibinuabinua utadhani kuna Mtu Ana mlingishia sura yake,Ajirekebishe ,mbona watangazaji wenzake wanatangaza vema?au anajiona kuwa yeye ni mrembo zaidi?Anakera sana huyu Dada,
alini-piss off siku moja anajifanya kujadili issue technical ya ving'amzi hadi injinia mmoja alokuwa invited akamcrash live akasema ndugu mtangazaji haya mambo huyajui so utajikuta unadanganya watu waachie wanaojua wajadili
Wanajamvi,Leo natoa dukuduku langu hasa kwa mtangazaji VYONA KAMUNTU Wa star Tv,apunguze malingo na kujisikia pale anapokuwa Anatangaza pale Luninga ya star Tv,kwani anajibinuabinua utadhani kuna Mtu Ana mlingishia sura yake,Ajirekebishe ,mbona watangazaji wenzake wanatangaza vema?au anajiona kuwa yeye ni mrembo zaidi?Anakera sana huyu Dada,
We acha tu asee!. Nikisikia kameolewa roho itaniuma sana.
Pole sana, nimewahi muda mrefu kaka. Kaa mbali.We acha tu asee!. Nikisikia kameolewa roho itaniuma sana.