Huyu mtangazaji Wa Star TV

Huyu mtangazaji Wa Star TV

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Wanajamvi,Leo natoa dukuduku langu hasa kwa mtangazaji VYONA KAMUNTU Wa star Tv,apunguze malingo na kujisikia pale anapokuwa Anatangaza pale Luninga ya star Tv,kwani anajibinuabinua utadhani kuna Mtu Ana mlingishia sura yake,Ajirekebishe ,mbona watangazaji wenzake wanatangaza vema?au anajiona kuwa yeye ni mrembo zaidi?Anakera sana huyu Dada,
 
Angalia !, Watu wasije kusema ni katusi.
Mmh! lakini... tuache masihara, katoto kale kazuri aisee!.
 
Mmmmh kataka kunisababishia kununiwa asubuhi kwa swaga zake!!!!
 
Wanajamvi,Leo natoa dukuduku langu hasa kwa mtangazaji VYONA KAMUNTU Wa star Tv,apunguze malingo na kujisikia pale anapokuwa Anatangaza pale Luninga ya star Tv,kwani anajibinuabinua utadhani kuna Mtu Ana mlingishia sura yake,Ajirekebishe ,mbona watangazaji wenzake wanatangaza vema?au anajiona kuwa yeye ni mrembo zaidi?Anakera sana huyu Dada,

alini-piss off siku moja anajifanya kujadili issue technical ya ving'amzi hadi injinia mmoja alokuwa invited akamcrash live akasema ndugu mtangazaji haya mambo huyajui so utajikuta unadanganya watu waachie wanaojua wajadili
 
Yeye pale anatakiwa kuwa neutral kwani kosa lake dogo kila mtazamji analiona,hatakiwi kuji complicate,ajue kuwa yupo kazini na akitaka kudengua asubili awe mitaani mazee.
 
Dada ni mzuri Hatarii ayo manjonjo yake sasa Mmmh!mtamchukia tuuu
 
Kwanza anaongea kwa staha hadi raha.wewe haujavutiwa nae.ila wengi wa watu wanampenda mojawapo mimi.
 
Atakuwa mhamiaji haramu tu huyo maana nasikia Mwanza nako wamejaa angawa msako haujapita huko
 
Wanajamvi,Leo natoa dukuduku langu hasa kwa mtangazaji VYONA KAMUNTU Wa star Tv,apunguze malingo na kujisikia pale anapokuwa Anatangaza pale Luninga ya star Tv,kwani anajibinuabinua utadhani kuna Mtu Ana mlingishia sura yake,Ajirekebishe ,mbona watangazaji wenzake wanatangaza vema?au anajiona kuwa yeye ni mrembo zaidi?Anakera sana huyu Dada,

Hapo nikweli mkuu nimemshuhudia leo asubuhi ameniboa sana.

Leo katika kipindi cha Tuongee Asubuhi, binafsi alinikwaza sana, maana kuna ile miondoko ya wenzetu wa cnn, bbc, skynews nk, ngefanya hivyo wala nisingesema kitu. Lakini huyu Dada Ivona Kamuntu anakiburi cha kujishebedua na kudhani ni mjuzi wa kila kitu na hasa anapojifinyanga na kufinya macho na hasa jicho moja kwa dharau, kana kwamba anaongea na watoto au mazezeta haifurahishi wala kuleta maana nzuri.

Ivona Kamuntu, kama anataka kufika mbali katika kazi yake hakika yampasa kujirekebisha vinginevo anajichafulia mwenyewe.
 
alini-piss off siku moja anajifanya kujadili issue technical ya ving'amzi hadi injinia mmoja alokuwa invited akamcrash live akasema ndugu mtangazaji haya mambo huyajui so utajikuta unadanganya watu waachie wanaojua wajadili

sio uongo kale kadada katakuwa kamekulia uswazi kanaringa na kujishebedua. ila kana mvuto nakapenda
 
Wanajamvi,Leo natoa dukuduku langu hasa kwa mtangazaji VYONA KAMUNTU Wa star Tv,apunguze malingo na kujisikia pale anapokuwa Anatangaza pale Luninga ya star Tv,kwani anajibinuabinua utadhani kuna Mtu Ana mlingishia sura yake,Ajirekebishe ,mbona watangazaji wenzake wanatangaza vema?au anajiona kuwa yeye ni mrembo zaidi?Anakera sana huyu Dada,

aisee nilijua uunataka namba yake bana..
 
Back
Top Bottom