Huyu mtangazaji Wa Star TV

Huyu mtangazaji Wa Star TV

Ok kama kuolewa tunamtakia kila la kheri Br Nyamwihura,kwani hizo ni personal effects,sisi tunaongelea jinsi anavyo Fanya kazi pale star Tv,abadilike,kwani mtangazaji ni kioo Cha jamii.
 
kwakweli nikikakuta kale kabinti rimoti huwa nzito kubadili chaneli kazuri sana aisee
 
Hebu wekeni picha ili na sisi tusiomjua tumsaminishe...
 
Mbona anatangaza kawaida tu kila mtu kaumbwa tofauti na mwingine.
 
Hebu wekeni picha ili na sisi tusiomjua tumsaminishe...

images
 
Na wewe jifunze kiswahili ili uwe na kitu cha kuringia.
 
daaah kuna jamaa anadai umekufa na kuoza kabisa,,that is affection bro,,,naona fred kajivuta na yeye arusha,,see you in october i'll be in dsm
Ha ha haaah!! Mkuu usichukulie serious kila kitu unachosikia humu.......am not the one bro,,,,,,:becky:
 
Back
Top Bottom