Vitabu vitakatifu vinaeleza kuwa Duniani kuna uzao wa shetani. Hao walitokana na mashetani yaliyozini na wanadamu, wakazaliwa viumbe wenye sura na maumbile ya wanadamu. Hao viumbe kazi yao kubwa huwa ni kuwaangamiza wanadamu, kuwaua wanadamu. Hayo mashetani yenye maumbile na sura za wanadamu tunaishi nayo, na mengine yamefanikiwa kuwa matajiri wakubwa na vyeo vikubwa, na hata kuwa watawala. Yaani ninyi mnadhani mnaongozwa na mwanadamu mwenzenu, kumbe mnatawaliwa na shetani, akiwaongoza kwenda jehanamu.
Pia katika Ulimwengu wa Roho, tunaambiwa kuwa mashetani au majini huwa yana uwezo wa kuchukua umbile na sura za wanadamu, kwa lengo la kuwaangamiza wanadamu. Jini au shetani likishachukua sura ya mwanadamu linaweza kuwaangamiza wanadamu kwa urahisi sana.
Nikiyatafakari haya yaliyotokea kwetu, inakuwa ni ngumu kweli kuamini kuwa haya yamefanywa na wanadamu halisia!
Tangu Ulimwengu uumbwe, tafuta kumbukumbu zote, hakuna kiongozi mwanamke aliyewahi kuwaua wanadamu wenzake kwa kiwango hiki kilichotokea hapa. AFP, shirika la habari linaloaminika sana Duniani limeripoti kuwa mauaji yale ya kikatili kabisa, ya kuwafuata watu wajumbani, migahawani, kwenye mabaa, na kisha kuwaua kikatili, mpaka hata kuwalaza watu kifudifudi na kisha kuwatandika risasi vichwani, yalifanywa na jeshi, .
Fikiria hilo kundi lake walikuwa wakiingia nyumbani kwa watu wanateketeza familia yote, mpaka watoto wadogo kabisa!
Hata yule kiongozi mwanamama wa Bangladesh, dikteta Shekha, mpaka anatoroka, serikali yake ilikuwa imeua watu 78, wa kwetu ameua maelfu, tena mauaji yakisimamiwa na mwanae, na wala haonekani kuumizwa na chochote. Hata wakati wa mauaji ya kikatili kabisa ya Kibao, wakati wananchi wakichanganyikiwa, wakisikitika na kushangaa, yeye alionekana haguswi na chochote, na kuona tatizo hilo ni la kawaida, akasema kifo ni kifo!
Hii siyo roho ya mwanadamu wa kawaida, tena mwanamke. Hata watawala madikteta wanaume hawakuwahi kufanya mauaji ya kutisha, mauaji ya watu maelfu, isipokuwa Hitler, Mussolin na Stallin. Huu ujasiri wa kuua watu wengi kiasi hiki, halafu akaendelea kuona ni jambo la kawaida, hakuna mwanadamu anayeweza kuwa na roho ya namna hiyo.
Huyo kweli atakuwa ni mwanadamu wa kawaida, au ndani yake kuna nguvu nyingine, ila nje ameuvaa uwanadamu? Kama ndani yake kuna nguvu isiyo ya kibinadamu, je, wananchi watashinda dhidi yake wanapopambana naye wakiwa na nguvu za ubinadamu pekee?
Biblia inasema wana wa Israel wakiongozwa na nabii Musa, walipoingia kwenye nchi ile ambako mashetani yalizini na wanadamu, kisha kikazaliwa kizazi cha mchanganyiko wa shetani na mwanadamu, Mungu aliwaambia wana wa Israel wawaangamize, lakini katika kupigana nao, Musa wakati wote alikuwa amenyosha mikono yake juu, na akiwa ameinyanyua, yale majitu yalipigwa, aliposhusha tu wana wa Israel walipigwa.
Tafsiri ya jambo lile ni kuwa yale majitu yalipigwa kwa nguvu za kiroho na siyo za kibinadamu. Kama huyu muuaji na kundi lake wana nguvu za yule shetani, itawezekana kumshinda kwa nguvu za kibinadamu? Je, ni nani atainyosha mikono yake juu kuomba nguvu ya Mungu, watanganyika watakapokuwa wanaitafuta haki, ili nguvu ya Mungu ishuke kumwangamiza mwenye nguvu za shetani?