Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,147
- 14,699
Mtoto mmoja leo asubuhi kaamka kutoka usingizini alipokuwa kalala na mama yake na kupiga kelele "Mamaa!" Mama yake akaamka na kumuuliza "nini mwnangu?" Mtoto akajibu "Mama nimeota ndoto mbaya sana," "ndoto gani hyo mwanangu?"
Mtoto akajibu "Nimeota tumefungua shule"...
😀😀😀🙂🙂🙂
Mtoto akajibu "Nimeota tumefungua shule"...
😀😀😀🙂🙂🙂