Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 2,823
- 3,816
Nakukumbusha tu vitoto vya namna hiyo havina utasa.
Inapigwa na Rough rider..! Kitu yenye nundu nunde a.k.a vifundo fundo. Inatokeaje sasa labda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakukumbusha tu vitoto vya namna hiyo havina utasa.
Usikaache hako maana ukikaacha kakirudi Usukumani katasema watu wa dar hawana maajabuWife hapa home kamleta dogo mmoja kutoka Mwanza kwa Maelezo yake wife ni kwamba mahali alipokuwa amepanga alikuwa na rafiki yake ambae huyu dogo ndo mwanae...kwa hiyo kaomba aje akae hapa kwetu...alifika ana staha ila naona ashaujua mji.
Dogo anasoma hapo ISW Kijito sasa kila jioni kakiwa kanajisomea kanakuja kuniuliza maswali maswali ya chuo nikasaidie halafu kananikalia hovyo hovyo...yaani kuna nyakat hata ukakanye hakasikii...siwezi mwambia wife haka siku si nyingi moto utawaka kiasi changu kinataka kushindwa vipimio. Dogo anavutia na mimi pepo wa ngono ananivizia. Pepo toka.
Mkule tu ila usisahau kuleta mrejesho kwenye ule uzi wa riki sawa mzee.Wife hapa home kamleta dogo mmoja kutoka Mwanza kwa Maelezo yake wife ni kwamba mahali alipokuwa amepanga alikuwa na rafiki yake ambae huyu dogo ndo mwanae...kwa hiyo kaomba aje akae hapa kwetu...alifika ana staha ila naona ashaujua mji.
Dogo anasoma hapo ISW Kijito sasa kila jioni kakiwa kanajisomea kanakuja kuniuliza maswali maswali ya chuo nikasaidie halafu kananikalia hovyo hovyo...yaani kuna nyakat hata ukakanye hakasikii...siwezi mwambia wife haka siku si nyingi moto utawaka kiasi changu kinataka kushindwa vipimio. Dogo anavutia na mimi pepo wa ngono ananivizia. Pepo toka.
Umeyajuaje haya au nawe si haba..🤣Nakukumbusha tu vitoto vya namna hiyo havina utasa.
Nakazia!Nakukumbusha tu vitoto vya namna hiyo havina utasa.
mkuu punguza hasira basi. yaani mke wangu anifukuze ?Unafiki tu ati "pepo toka" yaani ushadhamilia halafu unaongea upuuzi wako wako huo!!! Na endapo utajaribu kufanya naye huyo binti ni mwathirika na unaweza ukampa ujauzito na kesi kuzibeba na mkei kukufukuza.kipi ni bora
Kwa uzoefu nilionao katika masuala ya kijamii, hapo tatizo liko kichwani kwako akilini na sio hako katoto. Control sana hisia zako mzee utabomoa familia yako na kudharirika kwa tamaa ya kijinga sanaWife hapa home kamleta dogo mmoja kutoka Mwanza kwa Maelezo yake wife ni kwamba mahali alipokuwa amepanga alikuwa na rafiki yake ambae huyu dogo ndo mwanae...kwa hiyo kaomba aje akae hapa kwetu...alifika ana staha ila naona ashaujua mji.
Dogo anasoma hapo ISW Kijito sasa kila jioni kakiwa kanajisomea kanakuja kuniuliza maswali maswali ya chuo nikasaidie halafu kananikalia hovyo hovyo...yaani kuna nyakat hata ukakanye hakasikii...siwezi mwambia wife haka siku si nyingi moto utawaka kiasi changu kinataka kushindwa vipimio. Dogo anavutia na mimi pepo wa ngono ananivizia. Pepo toka.
Man hako ni kama mlenda, ni sawa na kula kandama, kamezaliwa siku 2 zilizopita sio vitamu kabisa utapoteza hamu yako bure.katoto ka 97 man kashakuwa haka hafu kamewiva kwelikweli
dah we huna pepo kabisa yani! mm hpo kitaambo! au,au! ntumie namba bas nimfundishe fundishe... 😁Wife hapa home kamleta dogo mmoja kutoka Mwanza kwa Maelezo yake wife ni kwamba mahali alipokuwa amepanga alikuwa na rafiki yake ambae huyu dogo ndo mwanae...kwa hiyo kaomba aje akae hapa kwetu...alifika ana staha ila naona ashaujua mji.
Dogo anasoma hapo ISW Kijito sasa kila jioni kakiwa kanajisomea kanakuja kuniuliza maswali maswali ya chuo nikasaidie halafu kananikalia hovyo hovyo...yaani kuna nyakat hata ukakanye hakasikii...siwezi mwambia wife haka siku si nyingi moto utawaka kiasi changu kinataka kushindwa vipimio. Dogo anavutia na mimi pepo wa ngono ananivizia. Pepo toka.
Sawa mzoefuKwa uzoefu nilionao katika masuala ya kijamii, hapo tatizo liko kichwani kwako akilini na sio hako katoto. Control sana hisia zako mzee utabomoa familia yako na kudharirika kwa tamaa ya kijinga sana
Kama una nyege katafute mtu wa mbali huko sio katoto kadogo tena kama mwanao . Vipi siku mtoto wako wa kike akafanyiwa kama unavyotaka kufanya na mume wa rafiki ya mkeo. Muepeke shetani mzee