ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 3,832
- 11,964
Haya mambo yalisha nikuta kuna mtoto wa Jirani alikua anapenda sana nije nimfundishe B/K na Math...kalikua form 3 Mtoto alikua anakuja anaanza story za ajabu ajabu nilimpiga stop na nikakata mazoea nae .Wanaume sometime mazoea na watoto wa kike yasizidi sana hasa hawa wadogo maana unaweza jikuta uko jela hujui hata nn kilitokea kumbe tamaa ilikubeba.