changa hilo stuka! dem mwenyewe wa kichaga?
Having a Child with someone sio lazima umuoe kama umpendi kuzaa na mtu kusiwe kigezo cha kulazimishana ndoa, ila Kumzalisha Mtu kichaa yeyote (yaani mtu yoyote anaweza) Tofauti ya wewe kuitwa baba ni kumtunza mtoto kwahiyo vema kama unao uwezo mimi nakushauri umtunze mtoto hata kama si wako biologically matunzo utakayotoa wewe ndio utakuwa baba wa kweli
Wapendwa wana JF, Yapata miezi 4 sasa binti anadai mimba aliyonayo ni yangu!Speed yake ni kubwa,lakini sijaishi nae na nimekutana nae mara mbili 2 tu, mwanzoni mwa mwezi wa 8, na kati ya mwez wa 8. Kaenda clinik kaandika jina langu. Sina tatizo na mtoto atakayezaliwa kama kweli atakuwa ni wangu, lakini hadi muda huu bado ninamashaka kama kweli mi ndo niliyempa hiyo mimba. Japo nipo mbali sana huku Umachingani lakini mtoto kakomaa kuwa mie ndo mhusika na anadai nimuoe! JE WANA JF HUYU MREMBO WA KICHAGA ANANIBAMBIKIA AU YAWEZA KUWA KWELI MI MHUSIKA? NAOMBA USHAURI MZURI WAPENDWA!

as a woman ukizaa nje ya ndoa imekula kwako...
una ruin chances zako za kumpata mr right,and being a single parent is hard nchini kwetu ambako hakuna suport kutoka kwa serikali kama nchi nyengine...
ni mpaka hapo huu mfumo unaomlet down mwanamke single kuraise a kid on her own utakapobadilika ndio ndoa za kulazimishana kisa tu mmejazana mimba...zitakapoisha!:A S angry::smile-big:
kwa sasa ni kila mtu kuwa responsible na kutumia kinga...
Wapendwa wana JF, Yapata miezi 4 sasa binti anadai mimba aliyonayo ni yangu!Speed yake ni kubwa,lakini sijaishi nae na nimekutana nae mara mbili 2 tu, mwanzoni mwa mwezi wa 8, na kati ya mwez wa 8. Kaenda clinik kaandika jina langu. Sina tatizo na mtoto atakayezaliwa kama kweli atakuwa ni wangu, lakini hadi muda huu bado ninamashaka kama kweli mi ndo niliyempa hiyo mimba. Japo nipo mbali sana huku Umachingani lakini mtoto kakomaa kuwa mie ndo mhusika na anadai nimuoe! JE WANA JF HUYU MREMBO WA KICHAGA ANANIBAMBIKIA AU YAWEZA KUWA KWELI MI MHUSIKA? NAOMBA USHAURI MZURI WAPENDWA!
Tatizo hapo ni dem au uchaga? Waweza kuta na wewe ni demu/dume la kichaga. Ushafanya DNA test kuhakiki kama baba yako si Mchaga?
Watu wengine bana:doh::doh::doh:
Hivi Asprin ni Mchaga?:smile-big:
mmmmmh.....:tape:
.................da jamaa ana roho ngumu yaani kaenda kavukavu.kwa tabia hiyo ukimwi ukikuacha shukuru
Hivi kuna mtu anategemea kwamba wana jf wana uwezo wa kujua mimba ni ya nani kwa kuhadithiwa peke yake?
kwa kuwa umedhihirisha ujali kapime kwanza HIV, pili natilia shaka uelewa wako wa sayansi ya uzazi ukweli ulia wazi ni kuwa hata tendo mara moja mimba inakamata. Usimhukumu binti kwa uchaga wake jilaumu wewe kwa kuwa dunga dunga hata kwa watu usio waamini. inakuwaje unampitia binti peku huku una imani nae hata kwa kukuambia kimekatikia? ACHA Ujanja wa kizamani kuhojihoji mimba wakati ulizembea kutumia njia za kuzuia mimba. kwa uhakika zaidi DNA ihusike baada ya mtoto kupatikana. hila tunza hiyo mimba na binti usika ujanja wa kuomba ushauri ili upate huruma za wana JF azina msingi timiliza wajibu na jukumu lako kwa mwanao mtarajiwa, akizaliwa kaka mama yako na dada zako wanamashaka kama kawaida ya waafrika DNA suluhisho
ukome kuchakachua bila condom...:smile-big::nono:
Hivi.....kwa nini uwe na shaka...............KWANI HUNA UWEZO WA KUMPACHIKA MWANAMAMA MIMBA.......??Wapendwa wana JF, Yapata miezi 4 sasa binti anadai mimba aliyonayo ni yangu!Speed yake ni kubwa,lakini sijaishi nae na nimekutana nae mara mbili 2 tu, mwanzoni mwa mwezi wa 8, na kati ya mwez wa 8. Kaenda clinik kaandika jina langu. Sina tatizo na mtoto atakayezaliwa kama kweli atakuwa ni wangu, lakini hadi muda huu bado ninamashaka kama kweli mi ndo niliyempa hiyo mimba. Japo nipo mbali sana huku Umachingani lakini mtoto kakomaa kuwa mie ndo mhusika na anadai nimuoe! JE WANA JF HUYU MREMBO WA KICHAGA ANANIBAMBIKIA AU YAWEZA KUWA KWELI MI MHUSIKA? NAOMBA USHAURI MZURI WAPENDWA!