Gsana JF-Expert Member Joined Aug 28, 2010 Posts 4,383 Reaction score 1,337 Nov 18, 2010 #41 Kaka kama mnaendana na hujaoa basi chukua jiko. Kama hutaki mke basi mtambue mtoto. Kisaikolojia utamsaidia shemeji kulea mimba kwa amani kubwa. Wanasaikolojia walio Jf wataprove ili. Kaka usimkimbie mzazi,mheshimu ndo uanze kumchunguza.
Kaka kama mnaendana na hujaoa basi chukua jiko. Kama hutaki mke basi mtambue mtoto. Kisaikolojia utamsaidia shemeji kulea mimba kwa amani kubwa. Wanasaikolojia walio Jf wataprove ili. Kaka usimkimbie mzazi,mheshimu ndo uanze kumchunguza.