DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Anakuja kasi sana! Keshapata mwaliko UN70K views · 3.2K reactions | Be a job creator not a job seeker #reels #africa #african #job #jobs #nigerian #nigeria #explorepage #trend #unemployment #employment | Victor Gekpe
Be a job creator not a job seeker #reels #africa #african #job #jobs #nigerian #nigeria #explorepage #trend #unemployment #employmentwww.facebook.com
Aswaa namfatilia Sana yupo Uganda mambo anayozungumza yanaashiria kapata muda mzuri wa kusoma , kufatilia historia .Kichwa
Jambo jema sana hilo .. Ni ukurasa mpya tulizoea kuona watoto wanaoimba ,kucheza n.k Ila mtoto mwenye intellectual ability hawakuwa wengi hapa EATAnakuja kasi sana! Keshapata mwaliko UN
Ila na ELIMU bora Uganda ni moja ya nchi ambayo Elimu yao ina vitu Fulani vinamjenga mtoto Kuwa na IQ nzuri Ila ikakutana Elimu ya kuunga unga ngumu Ku-shine.Anakuja kasi sana! Keshapata mwaliko UN
Ahaaaaa 😁😁😁unatuchosha