KERO Huyu mtu amekuwa hatari kwa kuwafanyia watu vitendo vya kikatili hapa Bonyokwa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Wewe boda hebu acha malalamiko,yaani jamii zilivyojanjaruka hivi mtu anawezaje kufanya matukio ya kujirudia halafu jamii ikae kimya

Labda kama kuna lingine
 
Kwani kumwita mwizi ni kosa?
Wanaume wa Dar tusiangushane bana
 
Mpumbavu mmoja anasumbua kijiwe kizima cha bodaboda? Ebu kuweni serious basi na nyie boda wa bonyokwa daslam
 
Huu mda wa kuposti mngekiwa mmempa kichapo tukadika habari ungekuwa wa maana sana.
 
Bongo pakis##### sana yani mtu mgambo boya mmoja anasumbua mie kisu cha mkunjo muhimu akinisogelea
 
Wewe boda hebu acha malalamiko,yaani jamii zilivyojanjaruka hivi mtu anawezaje kufanya matukio ya kujirudia halafu jamii ikae kimya

Labda kama kuna lingine
Jamii zipi zilizojanjaruka? Juzi tuu dereva wa bus la Mtei kachomolewa na kuuwawa huku bus zima lenye abiria 60 waliangalia na wengine kuchukua video clip. Ungeniambia Kenya ningekuelewa ila siyo bongo..
 
....bodaboda na kuwachukulia pesa kwa nguvu.
Bodaboda ninaowajua wachukuliwe hela kirahisi... ? sidhani labda watakuwa na issue zinawahusu. Bodaboda Wana umoja usio mithilika wakiamua jambo lao ....!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…