KERO Huyu mtu amekuwa hatari kwa kuwafanyia watu vitendo vya kikatili hapa Bonyokwa

KERO Huyu mtu amekuwa hatari kwa kuwafanyia watu vitendo vya kikatili hapa Bonyokwa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Bonyokwa mnakuwaje wazembe, yani kenge mmoja asumbue mji mzima.. Mna sh ngapi? , nije nimshikishe adabu.
 
Kuna mtu anaitwa Pius hapa Canada Bonyokwa amekuwa akiwafanyia vitendo vya kikatili watu tofauti tofauti

Hwa anawakamata bodaboda na kuwachukulia pesa kwa nguvu. Anachojivunia yeye kuwa ni mgambo pale Staki Shari hata ukienda kushtaki kesi yake inakuwa yako

Tunaomba mamlaka husika zitusaidie huyu mtu Pius ni hatari hapa Bonyokwa.

Pia soma: Mwenyekiti Serikali ya Mtaa Bonyokwa atuhumiwa kuhifadhi wahalifu!
Duh! Wanaume wa Dar ni vituko ya kimgambo kinawahenyesha hivyo 😯
 
Back
Top Bottom