ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Me: babe,babe kesho nafanya zoezi la kurusha ndege chini ya uangalizi wa mwalimu wangu..niombee nifaulu mpenzi.
She: nyooooo!unashindwa kurusha vocha ya buku utaweza ndege![emoji135]
She: nyooooo!unashindwa kurusha vocha ya buku utaweza ndege![emoji135]