Huyu mtu wa kufikirika anayeitwa Habil and kabil huenda ni project ya CCM

thegreat1510

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2021
Posts
1,523
Reaction score
4,040
Nina wasiwasi huenda kuna watu wamelipwa kueneza taarifa hizi za uongo.

Hawatakupa link ya account ya huyo mtu wao habil

Wala screenshot au taarifa yoyote aliyozungumza.

Na akianzisha mtu mmoja watakuja wengine kusapot na story zilezile na karibu wote comments zinafanana.
 
Hapa umezingua Mkuu , nenda TikTok mwenyewe ukachunguze.
Nimefuatilia nimekuta ni kweli yanayosemwa yapo.
Unaenda unaandika habil na kabil , hayo mambo ya link achana nayo.
 
Nina wasiwasi huenda kuna watu wamelipwa kueneza taarifa hizi za uongo.

Hawatakupa link ya account ya huyo mtu wao habil

Wala screenshot au taarifa yoyote aliyozungumza.

Na akianzisha mtu mmoja watakuja wengine kusapot na story zilezile na karibu wote comments zinafanana.
Screen shot hii hapa
Screenshot_2025-11-17-11-57-12-45_6d38f9fb71a3ceb6095a2b0c4b96ef6d.jpg
 
Hilo kundi la Makamba Jr , mmeongezea na wengine jana mtakomeshana humo chamani mpaka mnyooke
 
Nina wasiwasi huenda kuna watu wamelipwa kueneza taarifa hizi za uongo.

Hawatakupa link ya account ya huyo mtu wao habil

Wala screenshot au taarifa yoyote aliyozungumza.

Na akianzisha mtu mmoja watakuja wengine kusapot na story zilezile na karibu wote comments zinafanana.
Na huu ndio ukomo wa fikra za UVCCM.

Wanatengeneza kinyago halafu wana ki trendisha.
 
Nina wasiwasi huenda kuna watu wamelipwa kueneza taarifa hizi za uongo.

Hawatakupa link ya account ya huyo mtu wao habil

Wala screenshot au taarifa yoyote aliyozungumza.

Na akianzisha mtu mmoja watakuja wengine kusapot na story zilezile na karibu wote comments zinafanana.
Huyo yuko kazini, anapambana kuwatoa watu kwenye matukio yalitokea TZ, hasa watu kufuatilia pages kama za Mange zinazopost picha na video za mauaji.

Anawauzia watu maneno.
 
Back
Top Bottom