thegreat1510
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,523
- 4,040
Hapa umezingua Mkuu , nenda TikTok mwenyewe ukachunguze.Nina wasiwasi huenda kuna watu wamelipwa kueneza taarifa hizi za uongo.
Hawatakupa link ya account ya huyo mtu wao habil
Wala screenshot au taarifa yoyote aliyozungumza.
Na akianzisha mtu mmoja watakuja wengine kusapot na story zilezile na karibu wote comments zinafanana.
Screen shot hii hapaNina wasiwasi huenda kuna watu wamelipwa kueneza taarifa hizi za uongo.
Hawatakupa link ya account ya huyo mtu wao habil
Wala screenshot au taarifa yoyote aliyozungumza.
Na akianzisha mtu mmoja watakuja wengine kusapot na story zilezile na karibu wote comments zinafanana.
Sidhani....! Labda kama aneishatoroka!!!.... Makamba Jr , .....
View: https://youtu.be/SMlu1YKtuYk?si=Vz9yRMThuzg0Dd5w
Jifunze kujitegemea mleta uzi, acha kuwa TOMASO.
Kila taarifa unataka uletewe kwenye huu ulimwengu wa Technology.
Be a Man.
Na huu ndio ukomo wa fikra za UVCCM.Nina wasiwasi huenda kuna watu wamelipwa kueneza taarifa hizi za uongo.
Hawatakupa link ya account ya huyo mtu wao habil
Wala screenshot au taarifa yoyote aliyozungumza.
Na akianzisha mtu mmoja watakuja wengine kusapot na story zilezile na karibu wote comments zinafanana.
Huyo yuko kazini, anapambana kuwatoa watu kwenye matukio yalitokea TZ, hasa watu kufuatilia pages kama za Mange zinazopost picha na video za mauaji.Nina wasiwasi huenda kuna watu wamelipwa kueneza taarifa hizi za uongo.