Huyu Muha wa Kigoma sijawahi kumuelewa kabisa. Tokea ajiteke dishi liliyumba. Hajui katiba mpya italeta tume huru?

Huyu Muha wa Kigoma sijawahi kumuelewa kabisa. Tokea ajiteke dishi liliyumba. Hajui katiba mpya italeta tume huru?

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
👇
Screenshot_20220430-130153.jpg
 
Vipi kuhusu boss wake kusaini a pact na ccm kuwa mchakato uanze baada ya 2025?
Wamesaini mchakato utaanza 2026; wameenda sawasawa na unabii juu ya upatikanaji wa KATIBA mpya 2026.👍👍👍
 
mufilisi wakiwa kazini dhidi ya mtemi zitto aliyewazidi akili na uwezo!!!

Wako hoooi, wamebaki kukalisha masaburi tu kila siku na kuandikaandika shit dhidi ya mtemi zitto
 
Hawa jamaa tangu wajue ule uongo wao wa kuanza na tume huru haukubaliki, naona siku hizi wanajikanyaga tu, kila mmoja wao na lake.
Kwa sasa wanasema Katiba Mpya na tumr huru vinaenda pamoja mwanzo walisema wanaanza na Tume huru kwanza🤣🤣
 
Binafsi huwa ninatatizo mtu anapoanza kujadili kabila/Dini ya mtu kupinga hoja husika,

Mwalimu Nyerere aliwahi kusema UKABURU sio rangi kwamba ni lazima mzungu ambague mweusi or race nyingine ,

Bali ubaguzi wa aina yeyote ile hata wa kikanda,kidini,kikabila,kijinsia nk ni UKABURU pia ,
Muafrika anaweza kumbagua pia muhindi kama Mchunguji Mtikila Na sera yake ya ugabachori or Idd Amin Dada dhidi ya wazungu Na wahindi nk ,
Muafrika kumbagua muafrika mwenzako pia ni UKABURU

Moderators hiyo Heading either ifanyiwe editing or ifutwe
Cc Moderators
 
Back
Top Bottom