Huyu muheshimiwa amenishinda tabia

Huyu muheshimiwa amenishinda tabia

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Huyu muheshimiwa amenishinda tabia

1725459548277.jpg

Siku hizi hata nikimuona nyumbani kwangu simuui tena namchukulia kama mwanafamilia tu
 
Mwamba kabisa, mdau tupe siri apo kwny chumvi ya mawe tunafanyejee??
Kudekia, Ogea (siku7 au daily)na kuweka punje ktk kila kona za ndani ya nyumba/vyumba, na ukiweza km una jiko la mkaa uwe una ichoma kwa siku 7 mfululizo...asilani hauto waona hao viumbe
 
Kudekia, Ogea (siku7 au daily)na kuweka punje ktk kila kona za ndani ya nyumba/vyumba, na ukiweza km una jiko la mkaa uwe una ichoma kwa siku 7 mfululizo...asilani hauto waona hao viumbe
Huu ndio uchawi au huyo mjuzi ndiye mchawi!!
 
Back
Top Bottom