Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Unafanyaje na chumvi ya maweMamluki wa wachawi alafu pia wana leta magonjwa wakilamba vyombo na maji, dawa yao ni Chumvi ya mawe tu
Kumbe hawa ndio machawa wao duh😂😂Mamluki wa wachawi alafu pia wana leta magonjwa wakilamba vyombo na maji, dawa yao ni Chumvi ya mawe tu
Huyu muheshimiwa amenishinda tabiaView attachment 3087017 siku hizi hata nikimuona nyumbani kwangu simuui tena namchukulia kama mwanafamilia tu
Chumvi ya mawe unaitumiaje mkuu?
Unafanyaje na chumvi ya mawe
Kakurupuka kuandika Huyo.Mwamba kabisa, mdau tupe siri apo kwny chumvi ya mawe tunafanyejee??
Kudekia, Ogea (siku7 au daily)na kuweka punje ktk kila kona za ndani ya nyumba/vyumba, na ukiweza km una jiko la mkaa uwe una ichoma kwa siku 7 mfululizo...asilani hauto waona hao viumbeMwamba kabisa, mdau tupe siri apo kwny chumvi ya mawe tunafanyejee??
Huu ndio uchawi au huyo mjuzi ndiye mchawi!!Kudekia, Ogea (siku7 au daily)na kuweka punje ktk kila kona za ndani ya nyumba/vyumba, na ukiweza km una jiko la mkaa uwe una ichoma kwa siku 7 mfululizo...asilani hauto waona hao viumbe
Hii technique nimeipa humuhumu ktk threads za Mshana.JrHuu ndio uchawi au huyo mjuzi ndiye mchawi!!
Kwako imekupa majibu mkuu??Hii technique nimeipa humuhumu ktk threads za Mshana.Jr