Chief Kumbyambya
JF-Expert Member
- Jun 16, 2022
- 719
- 2,408
Kuna walevi na wanywajiwalevi wajinga sana kumbe wao ndio manakunya usiku huku mabarabarani alafu wanasingizia ni vichaa asubu
Bado tunakatana macho kwa kuibia na yeyeUshalewa hapo
Kwa tulipofikia siwezi kumwachaRuka kiunzi iko.
Nimetimba kwenye ka liquor store flani mida ya saa 12 jioni nime wakuta majamaa watatu wamezungusha serengeti lite kaunta nzima, nikawapa hi alafu nikaongea na dada wa kaunta anipe valeur kubwa alafu kimyaaa. Muda huu imeisha hawa Majamaa wanabishana mambo ya ligi ya uingereza nimeagiza tena valdur ndogo ndo naifungua hapa, nikamuuliza dada wa kaunta vip una kiberiti? Akasema kipo ila kina njiti moja.. Nikamwambia nipe... Sasa nipo pembeni kidgo na puff some huku tunapigana eye contact na dada wa kaunta, anakuwa kama anataka kutabasam hivi ila hatabasam na analegeza macho kama ananipa ishara flani hivi. Atakuwa ni muumini wa show za kibabe huyu sasa we ngoja.
🤣🤣🤣🤣Nimetimba kwenye ka liquor store flani mida ya saa 12 jioni nime wakuta majamaa watatu wamezungusha serengeti lite kaunta nzima, nikawapa hi alafu nikaongea na dada wa kaunta anipe valeur kubwa alafu kimyaaa. Muda huu imeisha hawa Majamaa wanabishana mambo ya ligi ya uingereza nimeagiza tena valdur ndogo ndo naifungua hapa, nikamuuliza dada wa kaunta vip una kiberiti? Akasema kipo ila kina njiti moja.. Nikamwambia nipe... Sasa nipo pembeni kidgo na puff some huku tunapigana eye contact na dada wa kaunta, anakuwa kama anataka kutabasam hivi ila hatabasam na analegeza macho kama ananipa ishara flani hivi. Atakuwa ni muumini wa show za kibabe huyu sasa we ngoja.
DaahNimetimba kwenye ka liquor store flani mida ya saa 12 jioni nime wakuta majamaa watatu wamezungusha serengeti lite kaunta nzima, nikawapa hi alafu nikaongea na dada wa kaunta anipe valeur kubwa alafu kimyaaa. Muda huu imeisha hawa Majamaa wanabishana mambo ya ligi ya uingereza nimeagiza tena valdur ndogo ndo naifungua hapa, nikamuuliza dada wa kaunta vip una kiberiti? Akasema kipo ila kina njiti moja.. Nikamwambia nipe... Sasa nipo pembeni kidgo na puff some huku tunapigana eye contact na dada wa kaunta, anakuwa kama anataka kutabasam hivi ila hatabasam na analegeza macho kama ananipa ishara flani hivi. Atakuwa ni muumini wa show za kibabe huyu sasa we ngoja.
Ndo kwaanza saa tatu dakika 12🤣🤣🤣
Ita bodaboda ushelewa mkuu