Huyu muhudumu wa kaunta ni kama ananimezea mate

kama huvuti kaa pembeni usitukere tunaovuta wewe mwenyewe ni mpumbavu tu fala kabisa shwain
Wacha kutumia sigara wewe mpumbavu jiamini...chanzo cha vijama kuanza kutumia sigara ni kuto kujianini wanajiona wanaonekana watoto.
 
Acha wenge bwana mdogo we malizia kreti lako la fanta ukalale
 
Nipo na Big G kuweka kinywa safi na demu nimemwambia amalize Big G kumi ndiyo ni mkisi romance.. siyo wewe unanuka domo kwa misigara kisha mnapigana mate na makahaba wachafu
 
Unaonekana una utoto mwingi malizia hiyo big g uende na pale dukani mwambie akupe pipi za kijiti kopo zima uendelee kuzinyonya na demu wako maana mnaonekana wote watamu tu
 
Nataka nitengeneze fegi kubwa kama zile marbol za zamani ili na mimi niwe naonekana mwenyewe akili kama wewe mwenzangu😁😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom