Huyu muhudumu wa kaunta ni kama ananimezea mate

Nimetimba kwenye ka liquor store flani mida ya saa 12 jioni nime wakuta majamaa watatu wamezungusha serengeti lite kaunta nzima, nikawapa hi alafu nikaongea na dada wa kaunta anipe valeur kubwa alafu kimyaaa. Muda huu imeisha hawa Majamaa wanabishana mambo ya ligi ya uingereza nimeagiza tena valdur ndogo ndo naifungua hapa, nikamuuliza dada wa kaunta vip una kiberiti? Akasema kipo ila kina njiti moja.. Nikamwambia nipe... Sasa nipo pembeni kidgo na puff some huku tunapigana eye contact na dada wa kaunta, anakuwa kama anataka kutabasam hivi ila hatabasam na analegeza macho kama ananipa ishara flani hivi. Atakuwa ni muumini wa show za kibabe huyu sasa we ngoja.
Kibiriti chanini kama una vuta sigara acha mara moja huo ni utoto na upumbavu ...kutumia sigara ni upumbavu mkubwa sana bora kunywa pombe
 
kama huvuti kaa pembeni usitukere tunaovuta wewe mwenyewe ni mpumbavu tu fala kabisa shwain
 
Nimetimba kwenye ka liquor store flani mida ya saa 12 jioni nime wakuta majamaa watatu wamezungusha serengeti lite kaunta nzima, nikawapa hi alafu nikaongea na dada wa kaunta anipe valeur kubwa alafu kimyaaa. Muda huu imeisha hawa Majamaa wanabishana mambo ya ligi ya uingereza nimeagiza tena valdur ndogo ndo naifungua hapa, nikamuuliza dada wa kaunta vip una kiberiti? Akasema kipo ila kina njiti moja.. Nikamwambia nipe... Sasa nipo pembeni kidgo na puff some huku tunapigana eye contact na dada wa kaunta, anakuwa kama anataka kutabasam hivi ila hatabasam na analegeza macho kama ananipa ishara flani hivi. Atakuwa ni muumini wa show za kibabe huyu sasa we ngoja.
Nawewe si umezee mate ili mwende sawa?
 
Back
Top Bottom