Huyu muigizaji wa filamu anaejiita mutrah1 huko instagram, ni sukari ya warembo aisee

Mimi huwa napenda sana pale mtu anaponisifia kwa kutengeneza kitu au project au kwa kuwa najua sana jambo fulani.
Ila sio mbaya mtoa mada pengine hicho ndo unachopendelea kuona.
 
🤣🤣🤣🤣
Kwahiyo waona wivu? Pole sana
 
Tafuta hela mademu wanajua kunusa mtu mwenye hela kama vibaka wa Kariakoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan vibaka wa k/koo wananusa mtu mwenye hela? Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…