Huyu mume mpya wa Salma Msangi ni nani?

Huyu mume mpya wa Salma Msangi ni nani?

Trayvess Daniel

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
651
Reaction score
1,244
Bi dada kaolewa kimya kimya na habari ikawekwa kwa Mange na picha juu.

Inasemekana kaolewa mke wa pili, na baba ndo muhusika wa wale watoto wawili wa mwisho wa bi dada.

Nani baba wa first born? But bi mkubwa ana moyo, ina maana muda wote mume alikua anacheat mpaka wakazaa watoto wawili na sasa kaamua kuoa. Wanawake tuwe na huruma na wanawake wenzetu

photo_2021-09-06_11-10-24.jpg
 
Bi dada kaolewa kimya kimya.... na habari ikawekwa kwa Mange na picha juu. Inasemekana kaolewa mke wa pili, na baba ndo muhusika wa wale watoto wawili wa mwisho wa bi dada.
Nani baba wa first born?
But bi mkubwa ana moyo, ina maana muda wote mume alikua anacheat mpaka wakazaa watoto wawili na sasa kaamua kuoa. Wanawake tuwe na huruma na wanawake wenzetu

View attachment 1916615
Kuanzia leo nimekupa/kukabidhi mikoba ya marehemu warumi
 
Kutakuwa kulikuwa tu na mistake. Trayvess ni ID ya muda tu, na ameshaanzisha nyuzi kibao kabla.; angalia profile yake vizuri
Kuna mchezo mchafu hapa! Imekuwaje ndani ya muda mfupi tu account mpya imebadilishwa kuwa ya 2014?

Kama haupo ndani ya uongozi wa jamiiforums basi umewasiliana nao wakaedit account yako
 
Bi dada kaolewa kimya kimya.... na habari ikawekwa kwa Mange na picha juu. Inasemekana kaolewa mke wa pili, na baba ndo muhusika wa wale watoto wawili wa mwisho wa bi dada.
Nani baba wa first born?
But bi mkubwa ana moyo, ina maana muda wote mume alikua anacheat mpaka wakazaa watoto wawili na sasa kaamua kuoa. Wanawake tuwe na huruma na wanawake wenzetu

View attachment 1916615
Ila dada zetu wa Kiislam ndoa,kuolewa ni big deal sana,
Mketema,Dada yake Mond,Yule dada wa Ng'arin'gari,shilole,
 
Back
Top Bottom