Trayvess Daniel
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 651
- 1,244
Kuna mchezo mchafu hapa! Imekuwaje ndani ya muda mfupi tu account mpya imebadilishwa kuwa ya 2014?
Kuanzia leo nimekupa/kukabidhi mikoba ya marehemu warumiBi dada kaolewa kimya kimya.... na habari ikawekwa kwa Mange na picha juu. Inasemekana kaolewa mke wa pili, na baba ndo muhusika wa wale watoto wawili wa mwisho wa bi dada.
Nani baba wa first born?
But bi mkubwa ana moyo, ina maana muda wote mume alikua anacheat mpaka wakazaa watoto wawili na sasa kaamua kuoa. Wanawake tuwe na huruma na wanawake wenzetu
View attachment 1916615
Kafariki lini huyu?Kuanzia leo nimekupa/kukabidhi mikoba ya marehemu warumi
Kuna mchezo mchafu hapa! Imekuwaje ndani ya muda mfupi tu account mpya imebadilishwa kuwa ya 2014?
Kama haupo ndani ya uongozi wa jamiiforums basi umewasiliana nao wakaedit account yako
Kuna mchezo mchafu hapa! Imekuwaje ndani ya muda mfupi tu account mpya imebadilishwa kuwa ya 2014?
Kama haupo ndani ya uongozi wa jamiiforums basi umewasiliana nao wakaedit account yako
Na mashada ndio yanaanza kumalizikia kukaukaKafariki lini huyu?
RIP...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuma salamu kwa watu watatu.
Ila dada zetu wa Kiislam ndoa,kuolewa ni big deal sana,Bi dada kaolewa kimya kimya.... na habari ikawekwa kwa Mange na picha juu. Inasemekana kaolewa mke wa pili, na baba ndo muhusika wa wale watoto wawili wa mwisho wa bi dada.
Nani baba wa first born?
But bi mkubwa ana moyo, ina maana muda wote mume alikua anacheat mpaka wakazaa watoto wawili na sasa kaamua kuoa. Wanawake tuwe na huruma na wanawake wenzetu
View attachment 1916615
Labda kama ni hivyoKutakuwa kulikuwa tu na mistake. Trayvess ni ID ya muda tu, na ameshaanzisha nyuzi kibao kabla.; angalia profile yake vizuri
Thank youKutakuwa kulikuwa tu na mistake. Trayvess ni ID ya muda tu, na ameshaanzisha nyuzi kibao kabla.; angalia profile yake vizuri