Huyu mume mpya wa Salma Msangi ni nani?

Kwahiyi yule mtoto waliyesema ni wa majizo ilikua uzushi tu
 
Dah!!
Celebrities Forum kazi tunayo.
Na alisema ila
" Warumi nipo mmoja tu kenge nyie, mxxxxiew"
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Hapa tungeshakuwa na mpk number za viatu za Bwn Kharooos.
 
Yaani hapa ndio uwepo wake unapodhihirika jamani binamuu yaani tungechambuliwa humu kila kitu mpk ile wanasema bwana Kharoos ana mke na watoto wanne
 
Yaani hapa ndio uwepo wake unapodhihirika jamani binamuu yaani tungechambuliwa humu kila kitu mpk ile wanasema bwana Kharoos ana mke na watoto wanne
Weeeeh, angeenda mpk shuleni kwao ili tu ajue huwa wanafaulu au la.
Aje atusuuze hapa kuwa anamjua Bwn Kharoos.

Ajhahahhahahhah🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Kuna siku alienda kulala msibani kwa watu ili tu aje utuchambe tulimbishia nini sijui.
Warumi jamaaaaaniπŸ€²πŸ™
 
Nakumbuka ule msiba 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 jamani binamu nitammiss sana hamna wa kuziba hili pengo jamani
 
Nakumbuka ule msiba 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 jamani binamu nitammiss sana hamna wa kuziba hili pengo jamani
Hayupo kwa kweli.
Dah.
Imekula kwetu.
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣, kweli uache kitanda chako ukalale msibani ili upate umbea aje ahishane vizur kwa details.

Nyingine alienda kwa Wema, sijui ahahahahhahahhahahahhahahahahhahaha daaaaaah!
Mungu Ampe kauli thabit binamu.
Alijua kutupa vicheko na burudani kwa hakika.
 
hakika kwa kweli
 
Mke mkubwa ana moyo ama ni vile wanawake wana limited options.,

utaachika uolewe tena ama?..hadi upate mpya uanze moja ni leo hehe?.
 
RIP warumi..mana ndo mtu pekee ambaye angeweza leta huu uzi vizuri na akatumia code zake kumtaja mhusika..pengo lake halitazbika
 
Mmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…