Hilo la Jesca msihangaikeeNasikia mpaka sasa anapiga jalamba chinichini.
Ametoa gari mbili ili kusaidia watu wakifiwa kusafirisha maiti toka Hospitali ya wilaya kwenda kuzika makwao kamab wakifiwa Moja ni Hilux Nyeusi.
Je ataweza huu mkikikimkiki? Maana nasikia Kalemani, Katwale, Sende na Wababe wa Chato wapo kwenye kinag'anyiro.
Mussa Magege inasemekana baba yake aliwahi kuwa mwenyekiti wa halmashauri ya B'mulo miaka hiyo Je atafurukuta?
Toka lini wachumba wa pididy huko ccm mkawa na akiliKwani anawabeba au ni kupepeta uongo tu!
Apewe tu !Ila nijuavyo baba yake alikuwa hataki kusikia watoto wake wakijihusisha na siasa. Labda kwa vile hayupo inawezekana kwa sasa.
Yaani yote matutusa, unaweza kusikia hata Mzee Mambo anataka ubungeHahaha Magege tenaπππ Ramso na yeye si apambanie kombe?
Why?Hahaha Magege tenaπππ Ramso na yeye si apambanie kombe?
Mambo mwenye Mgangaji?Yaani yote matutusa, unaweza kusikia hata Mzee Mambo anataka ubunge
Mamge huyu diwani mpiga debe wa mabasi?Huyo ni chawa sugu wa kalemani na magufuli. Kichwani hamna kitu, amejaza nchima boyo tu, na ndiye alitumika kuupiga mawe msafara wa Lissu hapo Chato. Yeye na Ramso ni maboga tu, hayana akili
Ni moja ya misukule ya hapo Chato mjini. Labda tuongelee Mange.
Twende na Katwale, Kalemani hakuna alichofanya, yote kafanya JPM. Halafu Kalemani alikuwa hamsalimii mama enzi mama akiwa Makamu
NdioMamge huyu diwani mpiga debe wa mabasi?
Ndio, YusuphMambo mwenye Mgangaji?
Agombee ubunge?Ndio
Acha kuwadharau wanaChato.Ndio, Yusuph
Sijawadharau, ndio uwezo wao ulipofikia.Acha kuwadharau wanaChato.
Pumbavu mkubwa shenzi.Sijawadharau, ndio uwezo wao ulipofikia.
NyanokoPumbavu mkubwa shenzi.
NonsenseNyanoko
Ukienda hapo stand ya zamani unakuta wanajazana ujinga tuu πππYaani yote matutusa, unaweza kusikia hata Mzee Mambo anataka ubunge
Tehetehe, kwenye kijiwe chao cha kahawaUkienda hapo stand ya zamani unakuta wanajazana ujinga tuu πππ
Ntweneki shenjhi bhebheTehetehe, kwenye kijiwe chao cha kahawa