Pre GE2025 Huyu Mussa Magege anayewania ubunge Chato ataweza kupambana na miamba kama Kalemani au Katwale na wenzake? Nasikia anajipigia chapuo chinichini.

Pre GE2025 Huyu Mussa Magege anayewania ubunge Chato ataweza kupambana na miamba kama Kalemani au Katwale na wenzake? Nasikia anajipigia chapuo chinichini.

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nasikia mpaka sasa anapiga jalamba chinichini.

Ametoa gari mbili ili kusaidia watu wakifiwa kusafirisha maiti toka Hospitali ya wilaya kwenda kuzika makwao kamab wakifiwa Moja ni Hilux Nyeusi.

Je ataweza huu mkikikimkiki? Maana nasikia Kalemani, Katwale, Sende na Wababe wa Chato wapo kwenye kinag'anyiro.

Mussa Magege inasemekana baba yake aliwahi kuwa mwenyekiti wa halmashauri ya B'mulo miaka hiyo Je atafurukuta?
Hilo la Jesca msihangaikee
 
A
Ila nijuavyo baba yake alikuwa hataki kusikia watoto wake wakijihusisha na siasa. Labda kwa vile hayupo inawezekana kwa sasa.
Apewe tu !
Yote ni maisha tu !
One day yes 🙌
One day No 🙄 !
Duniani tunapita tu !
 
Kujipanga na nini?, Lowasa 2015 hakujipanga?, Maalim Seif miaka yote hakujipanga?. Shida ya nchi sio kujipanga wala nini ni mifumo ya maamzi ya kiuchaguzi haiwapi watu wanachoitaji bali mfumo unayemuitaji.
 
Hahaha Magege tena😂😂😂 Ramso na yeye si apambanie kombe?
 
Huyo ni chawa sugu wa kalemani na magufuli. Kichwani hamna kitu, amejaza nchima boyo tu, na ndiye alitumika kuupiga mawe msafara wa Lissu hapo Chato. Yeye na Ramso ni maboga tu, hayana akili

Ni moja ya misukule ya hapo Chato mjini. Labda tuongelee Mange.

Twende na Katwale, Kalemani hakuna alichofanya, yote kafanya JPM. Halafu Kalemani alikuwa hamsalimii mama enzi mama akiwa Makamu
Mamge huyu diwani mpiga debe wa mabasi?
 
Back
Top Bottom