Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Ndio yupi hapoBi Khadija alimfundisha Mh. Rais Hesabu na Kiingereza alipokuwa form two/three.
Je, huyu Mwl Khadija alisomea combination gani mpaka akaja kufundisha Hesabu na Kiingereza?
View attachment 2232770
Njia ya muongo ni fupi.Bi Khadija alimfundisha Mh. Rais Hesabu na Kiingereza alipokuwa form two/three.
Je, huyu Mwl Khadija alisomea combination gani mpaka akaja kufundisha Hesabu na Kiingereza?
View attachment 2232770
Labda ni mwalimu QT!Bi Khadija alimfundisha Mh. Rais Hesabu na Kiingereza alipokuwa form two/three.
Je, huyu Mwl Khadija alisomea combination gani mpaka akaja kufundisha Hesabu na Kiingereza?
View attachment 2232770
Inawezekana alikuwa mwalimu wa shule ya msingi wa hesabu na kiingereza akajiendeleza baadaye akawa mwalimu wa sekondari.Labda ni mwalimu QT!
So, anafundisha masomo yote.
Bt kwa sekondari za kawaida ni vigum kukutana na mwl wa masomo hayo kwa pamoja.
Itabidi atafutwe atupe details zaidi!
Inawezekana hata kwa mtu aliyesoma HGL kufundisha hesabu kama kuna uhaba wa mwalimu wa hesabu.Bila shaka PCM. Then akajiongeza/akaombwa kufundisha English kwa kuwa labda hakukuwa na waalimu
Aliyesoma HGL hawezi kusogea kufundisha Mathematics
Bi Khadija alimfundisha Mh. Rais Hesabu na Kiingereza alipokuwa form two/three.
Je, huyu Mwl Khadija alisomea combination gani mpaka akaja kufundisha Hesabu na Kiingereza?
View attachment 2232770
Mbona kazi rahisi. Wale vichwa mnanielewa. Wazee wa Mabanda yooote 7 au 10 kabisa. Sio vilaza wa siku hizi anasoma masomo manne tu na bado anafeli yoote.Bi Khadija alimfundisha Mh. Rais Hesabu na Kiingereza alipokuwa form two/three.
Je, huyu Mwl Khadija alisomea combination gani mpaka akaja kufundisha Hesabu na Kiingereza?
View attachment 2232770
Nyingine ni MEG Maths English GeographyHizi tahasusi huwa zinabadilika badilika mkuu. Siyo msahafu.
Ndiyo maana mwaka juzi zimetengezwa nyingine kama
KMC = KISW, MATH, CHEM
CPM = COMPUTER, PHY, MATH
CMC = COMPUTER, MATH, CHEM
KFC = KISW, FRENCH, CHINESE
CFC = COMPUTER, FRENCH , CHINESE