Huyu mwamba alifuata nini kwenye mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa?

Kiongozi wa Serikali ya Papua New Guinea, Boka Kondra akihufuatilia kwa makini mijadala alipokuwa anahudhuria moja ya vikao vya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani.

Boka Kondra ni mwakilishi wa watu jamii ya Ngalum, Uropkulin na Kasipka na koo za Milima ya nyota na Koteka.

Pia, Boka Kondra amepata kuwa Mbunge na Waziri wa Utalii kwa muda mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…