Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,669
- 33,691
🤣🤣🤣🤣Utamaduni kama wa akina ngosha kuwatengenezea fisi plate number tu!
🤣🤣🤣🤣Utamaduni kama wa akina ngosha kuwatengenezea fisi plate number tu!
Una uhakika?Aliwakilisha Uswatin
Amepokelewa na pisi Kali sanaView attachment 3407185
Huyo hapo baada ya kuoga
Baada ya kupendezaAmepokelewa na pisi Kali sana
Umenifanya nichekeBaada ya kupendeza
Dadeeeeeki haendi kukojoa kama wale wadada wanaovishwa vigodoro kwenye harusi ili waonekane na takro
Hiyo ni pembe ya mnyama, amevalisha ub oo🤣🤣🤣🤣hicho hapo mbele kwenye mapaja ni kitu gani na amekiweka kwa ajili ya nin
Mbona kujipa mateso hukoHiyo ni pembe ya mnyama, amevalisha ub oo
Ni Rais wa Papua New Guinea huyo akiwakilisha nchi yake kwa mbwembweMwamba bila shaka kabila tata la kiagentina
Thibitishia umma kipimo ulichotumia kubaini uyoga uliomo ni tango wala si kibamia.....!?Uyoga uko mkubwa katikati
Uchokozi huo...Kishoya ndio nn
Hujui labda inakuwa ya moto zaidi😂Mbona kujipa mateso huko
Hebu fanya majaribio alafu letaHujui labda inakuwa ya moto zaidi😂
Uchokozi upi huo tatizo lugha uliyokuwa umeitumia si rafiki kwanguUchokozi huo...
Dushe