Huyu mwamba anamwambia nini Padri mpaka kajishika kichwa?

Anamwambia "baba kipindi kile watu wamevamia kwangu na siraha wakanibeba mbele ya familia yangu ni mimi ndo nilistage lile tukio ili nipate nafasi ya kwenda kula gambe na washkaji zangu na baada ya siku 3 za bata zito nikarudi nimechokaa. Mke wangu hua hapendi nitoke
 

Stori nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…