Huyu mwamba anamwambia nini Padri mpaka kajishika kichwa?

Huyu mwamba anamwambia nini Padri mpaka kajishika kichwa?

Anamwambia "baba kipindi kile watu wamevamia kwangu na siraha wakanibeba mbele ya familia yangu ni mimi ndo nilistage lile tukio ili nipate nafasi ya kwenda kula gambe na washkaji zangu na baada ya siku 3 za bata zito nikarudi nimechokaa. Mke wangu hua hapendi nitoke
 
Ananikumbusha jamaa anaitwa grayman,kila akiuwa,anakuja kuungama kwa kasisi,
Kumbe kasisi nae ni broker,yaani kama mtu anatafuta gun for hire, yule kasisi ndo anaconect,kiufupi kasisi alikuwa anafanya kazi za CIA, sasa CIA walikuwa wanamsaka huyu Grayman kumuua baada ya kuasi kambi

Kwahiyo kasisi akamchoma grayman kwa CIA, ikatumwa team ya SAD toka marekani kwa private jet mpaka Italy ndani ndani alipokuwa kajificha grayman kwenye safe house yake

So grayman hajui hili wala lile akastukia team ya cia imetia timu,sema alikua mkali wao, akawafyeka wote, then akakumbuka mtu pekee aliemwambia location yake ni yule kasisi, basi Grayman akaconclude kuwa kasisi ndie kamsinitch kwa CIA,

Akarudi church, akamkuta kasusi,

"Karibu mwanangu,umekuja tena kuungama?"

"Yes, father, i just come from killing some people's, so here am father, i have sinned and to top it,, before l leave here, i have to kill you cause you snitched me to the CIA wet team, you the only one who knew where to locate me, you are going to die father"...

Kasisi, akashika kichwa kwa mawazo, huku grayman nae akiwa amejaa masikitiko,

Stori nzuri.
 
Back
Top Bottom