Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Ndani ya mwezi mmoja yeye na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Tanga na yeye akiwa ndiye M/kiti wamefanikiwa kukamata mali za magendo zisizopungua thamani ya bilioni 4!
Na inaonyesha dhamiraye ni kukomesha kabisa uhuni ule unaofanywa na ma mafia wa Tanga na Dar es Salaam.
Je, atawaweza?!
"Nimeshuhudia kwamba watuhumiwa 20 wote mmepatikana. Nichukue nafasi hii kulipongeza Jeshi la polisi la mkoa wa Tanga chini ya RPC na viongozi wote. Tunataka mwenye mzigo huu aje lakini kwa sasa tunasema wenye mzigo huu ni nyinyi. Nitoe wito kwa wananchi wa Tanga na mkiwemo nyinyi, mtu yoyote asikupe kazi ambayo si halali, ukishiriki kwenye biashara ya magendo na wewe unafanya magendo."