Ndani ya mwezi mmoja yeye na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Tanga na yeye akiwa ndiye M/kiti wamefanikiwa kukamata mali za magendo zisizopungua thamani ya bilioni 4!
Na inaonyesha dhamiraye ni kukomesha kabisa uhuni ule unaofanywa na ma mafia wa Tanga na Dar es Salaam.
Je, atawaweza?!
Your browser is not able to display this video.
"Nimeshuhudia kwamba watuhumiwa 20 wote mmepatikana. Nichukue nafasi hii kulipongeza Jeshi la polisi la mkoa wa Tanga chini ya RPC na viongozi wote. Tunataka mwenye mzigo huu aje lakini kwa sasa tunasema wenye mzigo huu ni nyinyi. Nitoe wito kwa wananchi wa Tanga na mkiwemo nyinyi, mtu yoyote asikupe kazi ambayo si halali, ukishiriki kwenye biashara ya magendo na wewe unafanya magendo."
Hivi kuna watu bado wanafanya biashara za magendo tu? Mh rais kawasihi walipe kodi kwa hiari bila shuruti wao bado wanakwepa kulipa kodi tu? Wanataka rais wa aina gani?

Mwambie kuna black markets ambako unaweza kununua kuanzia bidhaa halali hadi bidhaa haramu ni hela yako tu. Huko hata ukitaka kununua mtu ummiliki fika dau tu.
Kuwepo kwa biashara za magendo kunamaanisha kunamfumo mbovu wa kodi nchini.Hizi tozo lukuki na kodi kubwa kuliko kawaida inawafanya watu wajihusishe na magendo.Punguzeni tozo za ajabuajabu ili mpate mapato mengi.Kwa tozo hizi,mimi sitaacha biashara zangu za magendo hapa mpakani.
Kuwepo kwa biashara za magendo kunamaanisha kunamfumo mbovu wa kodi nchini.Hizi tozo lukuki na kodi kubwa kuliko kawaida inawafanya watu wajihusishe na magendo.Punguzeni tozo za ajabuajabu ili mpate mapato mengi.Kwa tozo hizi,mimi sitaacha biashara zangu za magendo hapa mpakani.
Ndani ya mwezi mmoja yeye na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Tanga na yeye akiwa ndiye M/kiti wamefanikiwa kukamata mali za magendo zisizopungua thamani ya bilioni 4!
Na inaonyesha dhamiraye ni kukomesha kabisa uhuni ule unaofanywa na ma mafia wa Tanga na Dar es Salaam.
Je, atawaweza?! View attachment 2363935