Huyu mwanadada member wa JF napenda sana tabia yake

Huyu mwanadada member wa JF napenda sana tabia yake

Weka na Dina hapo
Mhhh wewe labda kabla hujajuana na warumi walahiii maana kipindi kile nilikuwa nacheka sana celeb forum..mlikuwa wambeya hadi mnaboa ila kwangu ilikuwa refreshment

Wewe upo vizuri hadi pale mtu anapokukera kidogo tu huwa unawakaa
 
Nimebadilisha Avatar hiyo nayo vipi imekaa vizuri?
..........angalao hii.huyu unayetamani awe role model wako hiyo uloiweka hawezi kuitumia hata kwa bahati mbaya.
9c7ca4d3828b76c702c18f58f093f6b9.jpg
 
Hii tabia ya kupenda kuwasifia watu inakuwa kwa kasi sana humu jf na sidhani kama ni nzuri kwa sababu inawanyima wahusika uhuru wa kujiachia watakavyo hasa kwenye kutoa comments. Mtu anakuwa anaogopa kuandika anachojisikia au kukukosoa uliyemsifia kwa sababu ya kuhofia kuonekana tofauti na alivyosifiwa kabla. Kwa mfano utasikia watu eti.. Nahuja au Sky Eclat wanatabia nzuri sana, au Demiss, Shunie, Demi, beef lasagna, Hornet, Emmyta n.k...ni mabinti wastaarabu sana. Tuache huu mchezo wa kusifiasifia watu Mara moja tunawanyima Uhuru.
Mkuu just be real, ninakumbuka quote kwenye kitabu cha Harry Potter "don't expect a day when the universe will be on your side"
 
Mhhh wewe labda kabla hujajuana na warumi walahiii maana kipindi kile nilikuwa nacheka sana celeb forum..mlikuwa wambeya hadi mnaboa ila kwangu ilikuwa refreshment

Wewe upo vizuri hadi pale mtu anapokukera kidogo tu huwa unawakaa
Asa mbona umeandika kidogo Nawe waelezee sifa zangu wanitambue mimi ni nanii, maana wanajua mimi wa Hivi Hivi enzi Hizo wale guest ilibidi wajiunge jf
 
hahahahahah, ila kwenye mambo yaaaleee, sio mkorofi ila ni mbunifu nakuhakikishia hutanichoka (Kwa sauti ya mkulu wetu)
Jamani mbona wataka kunimaliza mapema hivyo?
Najua siri ya wanawake wakorofi, hawa wanaogopwa na wanaume wengi, lkn mimi nkijua u mkorofi yaani umekwishaa.
Najua siri ya urembo...acha kabisa mpendwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji8]
 
Back
Top Bottom