AMINAPoa poa! Barikiwa!
Mhhh wewe labda kabla hujajuana na warumi walahiii maana kipindi kile nilikuwa nacheka sana celeb forum..mlikuwa wambeya hadi mnaboa ila kwangu ilikuwa refreshmentWeka na Dina hapo
Hata baiskeli sina,,nauliza una gari [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ona sasa, si nilikwambiaUkinizidi nakunya hapa
Mtafute hebu... Nimemiss kijiwe cha interviewhata najua ngoj leo nifanye usafi huenda nikamuona
..........angalao hii.huyu unayetamani awe role model wako hiyo uloiweka hawezi kuitumia hata kwa bahati mbaya.Nimebadilisha Avatar hiyo nayo vipi imekaa vizuri?
hahahahahah, ila kwenye mambo yaaaleee, sio mkorofi ila ni mbunifu nakuhakikishia hutanichoka (Kwa sauti ya mkulu wetu)Mimi napenda mwanamke mkorofi kama wewe aisee, mpole hapanaa
aaah nilijua unalo[emoji23]Hata baiskeli sina,,
Mkuu just be real, ninakumbuka quote kwenye kitabu cha Harry Potter "don't expect a day when the universe will be on your side"Hii tabia ya kupenda kuwasifia watu inakuwa kwa kasi sana humu jf na sidhani kama ni nzuri kwa sababu inawanyima wahusika uhuru wa kujiachia watakavyo hasa kwenye kutoa comments. Mtu anakuwa anaogopa kuandika anachojisikia au kukukosoa uliyemsifia kwa sababu ya kuhofia kuonekana tofauti na alivyosifiwa kabla. Kwa mfano utasikia watu eti.. Nahuja au Sky Eclat wanatabia nzuri sana, au Demiss, Shunie, Demi, beef lasagna, Hornet, Emmyta n.k...ni mabinti wastaarabu sana. Tuache huu mchezo wa kusifiasifia watu Mara moja tunawanyima Uhuru.
Asa mbona umeandika kidogo Nawe waelezee sifa zangu wanitambue mimi ni nanii, maana wanajua mimi wa Hivi Hivi enzi Hizo wale guest ilibidi wajiunge jfMhhh wewe labda kabla hujajuana na warumi walahiii maana kipindi kile nilikuwa nacheka sana celeb forum..mlikuwa wambeya hadi mnaboa ila kwangu ilikuwa refreshment
Wewe upo vizuri hadi pale mtu anapokukera kidogo tu huwa unawakaa
yaan kilituteka hassMtafute hebu... Nimemiss kijiwe cha interview
Aaaaaah kumbee danga! Kwani hutaki mme? Tafakakari vemaMmh uzi hapana! Danga langu litakasirika!
Yaan Nakuambia jasiri ni jasiri tu nishaharibuOna sasa, si nilikwambia
hahahahaahahaahahnimejirekebisha wallah huoni siku hiz nashusa paragraph ndefu
Unajua unampenda Skylat ni MOD ili asiwe anakupa banhahahahahah, ila kwenye mambo yaaaleee, sio mkorofi ila ni mbunifu nakuhakikishia hutanichoka (Kwa sauti ya mkulu wetu)
Hongera zake na weye pia hongera zako Dada.Mie nimeingia enzi ikiwa Jamboforums. aliyenishawishi kuingia ni bwana mmoja alikuwa mtangazaji wa ITV, akaja akawa DC na siku hizi yuko Star TV anaitwa Novatus Makunga
Jamani mbona wataka kunimaliza mapema hivyo?hahahahahah, ila kwenye mambo yaaaleee, sio mkorofi ila ni mbunifu nakuhakikishia hutanichoka (Kwa sauti ya mkulu wetu)
We acha tuuyaan kilituteka hass