Naona hata kukanusha hutaki dahNilisahau kumalizia mimi zaidi naonaga kicheko chako tu
Hivi elgibo ni me?Ana vituko sana
Sawaahahahah, kweli mie nina "mzio" (aleji) ya kucheka hata tukionana live niko hivyo hivyo
HakikaNa sio kila kitu mtu anapenda, mie na ukorofi hapana!!! Tunatofautiana ila sote ni wa Mola
Nisubiri kidogoPlease usije ukamwambia na mirungi babu atanirudisha kijijini
Uwe na mchana mwemaHakika
Uimbe kwayaHalafu nifanye nin?
Amen dadangu, nawe piaUwe na mchana mwema
Anza wewe hafu wewe ndo umemfundisha mana tulianza kuona kwakoUimbe kwaya
Dume la mbeguHivi elgibo ni me?
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Amen dadangu, nawe pia
SawaaDume la mbegu
Umemuita bila sauti utanisalimia akija wewe si unjuaaa bhanaaSijambo kakake...pacha yupo anazurura mitaani huko..
Cc@shunie
Kuona nini?Anza wewe hafu wewe ndo umemfundisha mana tulianza kuona kwako
Dina naona umeamua tu kunitusi, hivi hujuagi jinsia yangu kweli au umeamua tu!Sawaa
Ni hivi password zangu Anazo mzigua Ndio alipost Siku zile