- Thread starter
- #401
hhahahaahhah, sawa IsaaWaweza piga mume akikuudhi punguza hasira utapendwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hhahahaahhah, sawa IsaaWaweza piga mume akikuudhi punguza hasira utapendwa
Mmmh ingawa muwamba ngoma huvutia kwake ....sijui ka kweli[emoji23] [emoji23]Nimekumiss pia NAHUJA kanisifia Kua akitoka esky clay nafatia mi Kwa ustaarabu humu jf
Asante NAHUJA waambie Kina mzigua waniige mimi Mfano haiKweli kabisa Dina uko vizuri sana
Nasema kutoka moyoni tena bila kushuritishwa na mtu
Leo ndo nimeona maneno mengi kutoka kwako.Safi sana
hahahahaaah, sawa bwana!Tofautisha ukali na matusi, Mange hata salamu simpi, binafsi matusi siyajui na sipendi
Halafu nifanye nin?Huko mbalii aache pombe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe na pombe anabwia? Mi nlifikiri ni bangi peke yake anatumia
ati!Vipi kuhusu "kutokuwa under influence ya kitu chochote kile?"
[HASHTAG]#sky eclat[/HASHTAG]
Ndo na mimi nimeshangaa kweli.Sijawah hata Siku moja
Ana vituko sanaDina natamani nimuone live...yani ni full vituko
Please usije ukamwambia na mirungi babu atanirudisha kijijiniVyote babu
Umekubuhu bidada shikamoooPlease usije ukamwambia na mirungi babu atanirudisha kijijini
ahahahah, kweli mie nina "mzio" (aleji) ya kucheka hata tukionana live niko hivyo hivyoNilisahau kumalizia mimi zaidi naonaga kicheko chako tu
Sheria za jf si haitakiwi kusema uongo Kwanini hawapigwi banAna vituko sana