Huyu mwanadada member wa JF napenda sana tabia yake

Huyu mwanadada member wa JF napenda sana tabia yake

Ni kweli nimebadilika hata mimi najishangaa. Sijui ni huu utu uzima au ni huu ulokole ninao utamani.
Yaani jukwaa la wakubwa nalipita kama silioni vile, halafu silipendi linanikera mno.
Mods please niondoeni jukwaa la wa kubwa.
.
.
This is so serious!
Cc : Mods
Usianze kuniuliza Uliza Ooh wamerusha ninii
 
Back
Top Bottom