Elgibo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 1,067
- 1,518
Mbona umekaa kinyonge nawe mkorofi ee[emoji23]Nini kwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona umekaa kinyonge nawe mkorofi ee[emoji23]Nini kwani
Siyo leo mkuu. Kipindi kile cha nyuma.Aah kule ngoja nikaangalie sijaona bana
SitakiNaanzisha uzi sasa hivi nikusifie jukwaa la chiniii
Halafu ana mtungi wa shisha ghettoKumbe na pombe anabwia? Mi nlifikiri ni bangi peke yake anatumia
unipe mualiko namim la sivyo naharibu[emoji12]Weweee achaa
Mimi nna vituko? Sema kama vitano NioneDina natamani nimuone live...yani ni full vituko
Ngoja nifumbe macho maana bata ukimchunguza humli asee[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Eyce unaibiwaaaaa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nitakwambia tukionana mrembo hapa tutaharibu uziMimi nna vituko? Sema kama vitano Nione
Tayari mbona, basi wambie mods waifute [emoji12] [emoji12] [emoji12]Sitaki
Ntalalaunipe mualiko namim la sivyo naharibu[emoji12]
Dunia ya mola.. Ukorofi wa nini mkuu.. Mwenye nguvu huwa nampishaMbona umekaa kinyonge nawe mkorofi ee[emoji23]
Janeth wapiTayari mbona, basi wambie mods waifute [emoji12] [emoji12] [emoji12]
hapo sawa wew kaka njooo uendelee hukuNtalala
Safi sanaDunia ya mola.. Ukorofi wa nini mkuu.. Mwenye nguvu huwa nampisha
Usipishe, banana mpaka kielewekeeDunia ya mola.. Ukorofi wa nini mkuu.. Mwenye nguvu huwa nampisha
Ni kweli nimebadilika hata mimi najishangaa. Sijui ni huu utu uzima au ni huu ulokole ninao utamani.Hafu wewe tangu ubadili avator umebadilikaaa.
Ulikua mhudhuriaji mzuri.
Ulikua unamajibu ya faster yenye kufurahisha
Ulikua na utani utani mtam
Siyo leo mkuu. Kipindi kile cha nyuma.