Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo hivyo mamangu, hakuna sababu ya kuharibiana siku sababu ya keyboard!!Safi sana
Hahahaha. Siku moja itakuw zamu yako mkuu.Aahaa ile niliona ila hii ya sky inapendeza hahaha
Hapana mkuuUsipishe, banana mpaka kielewekee
Thijakuelewa vidhuri mlembo umechanganya na kidhungu fafwanua tafathali.Mkuu just be real, ninakumbuka quote kwenye kitabu cha Harry Potter "don't expect a day when the universe will be on your side"
Usianze kuniuliza Uliza Ooh wamerusha niniiNi kweli nimebadilika hata mimi najishangaa. Sijui ni huu utu uzima au ni huu ulokole ninao utamani.
Yaani jukwaa la wakubwa nalipita kama silioni vile, halafu silipendi linanikera mno.
Mods please niondoeni jukwaa la wa kubwa.
.
.
This is so serious!
Cc : Mods
Oooh asante nawe pia mwanamke wa shoka.Nakutakia Jumatatu njema, hahahaha
hahahahahaah, huko nimefunga. ahahahaOooh asante nawe pia mwanamko wa shoka.
Nitakutembelea Panapo Majaaliwa (pm)
Ni kama nilisha uona vile!Ivi kuna uzi humu usemao. Mwana JF gani unatamani kumuona live?
Watajenawapenda wale wadada wenye matusi huwa wametulia ila asilimia kubwa ya wapole mh mh
Kwani we juzi si ulikataa mahari ukasema mpaka bibi aniweke ndani? Subiri mahari nyingine ije nikirudishwa ndo usemeMbishi sana huyo mrembo. Atakuja kututia aibu ukweni... shauri zake
Sionani na mtuNitakwambia tukionana mrembo hapa tutaharibu uzi