Yeth lottah
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 1,405
- 2,229
Ulitegemea Husna the boss atakuwa dume?Dina naona umeamua tu kunitusi, hivi hujuagi jinsia yangu kweli au umeamua tu!
Husna ni ke but alikuwa na ID ya kiume piaUlitegemea Husna the boss atakuwa dume?
Kuna kitu unataka Kwa mzigua
Jamani jamani nyie.Halafu ana mtungi wa shisha ghetto
Wee mwanaumeHusna ni ke but alikuwa na ID ya kiume pia
Uko namba ngapi ya ustarabuMaandishi ya JF ni kuburudika mtu utakavyo jamani.. kiswahili na kuna tunaoongea vilugha vyetu.. eeeeh
AtakujaUmemuita bila sauti utanisalimia akija wewe si unjuaaa bhanaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna kitu unataka Kwa mzigua
Hukipati bila mimi
Uko namba ngapi ya ustarabu
Hivi mtu akikutag huonagi kama mimi?Jamani jamani nyie.
Fanya hivyo basi mimi nasogea kidogoAtakuja
SionagiHivi mtu akikutag huonagi kama mimi?
Sure.. Sky ni mwanamke wa kipekee humu I even you mtoa mada.Shukran mkuu
Mie sijambo kama nyie.
Nasema kutoka moyoni tena bila kushuritishwa na mtu, napenda sana tabia ya huyu dada member mwenzetu hapa JF. Huyu dada hana maringo, hana hasira hata mtu akimjibu utumbo. Hivi kwa nini na mie sina tabia njema kama za huyu dada (nina hasira sana). Mie mtu akinitibua ni jino kwa jino, jicho kwa jicho, mguu kwa mguu, mkono kwa mkono kinachofuatia ni nasomeka BANNED.
Wewe dada una busara sana. Mimi kama mwanamke mwenzio nasema hivi una tabia njema. Na kama una familia basi familia yako utakuwa unawalea katika maadili mazuri.
Huwa nikiona mtu "anamchokoza" huyu dada niko tayari kuingilia huo ugomvi (nina element za ugomvi sipendagi ujinga mimi).
Barikiwa sana Dada Sky Eclat pia nakutakia maandalizi mema ya mfungo (Kwaresma).
Unaenda wapiFanya hivyo basi mimi nasogea kidogo
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]. Nitaanza.Asante NAHUJA waambie Kina mzigua waniige mimi Mfano hai