hahahah, coco, ngoja nim tagi huyo babu Asprin hahahaSky mjanja sana maandishi yake akiamua
Ila wajanja twayanyaka pwaaaa
Dawa Asprin iwe mtu
Mchati kwa posts na kuchekeana
Vidongo vyake eeeeeh.. na siku mmmh alimpaka mmmmh live kisa chati chati na wabebez eeeeeh
Mengi tunayaona burudani JF
Umefanya vema kutengua kauli yako,hahahahahahHahahaha nilikuw natania tu. Kweli hajawahi kunitukana.
hahahahaah, hana maneno mengi, halafu na story zake za Tandale utadhani kweli anaishi hukoMie nimesoma hapo kwenye jino kwa jino [emoji23]
Sky ananifurahisha na maneno yake ya ujanja ujanja
Halafu coment yake moja tu.
Kamaliza
Asante mkuu.Umefanya vema kutengua kauli yako,hahahahahah
Huyo wa kwanza hapo mkuu(emmy) ndio anastahili kupewa hizo sifa
Nani kampokea Yesu, Jestkila au mimi, hahahahahaahahaAmeokoka siku hizi?
Hivyo eeeee!!!!Huyo wa kwanza hapo mkuu(emmy) ndio anastahili kupewa hizo sifa
JestkillaNani kampokea Yesu, Jestkila au mimi, hahahahahaahaha
mmmmh! ngoja nikimbie nimwachie cocochanel huu msalaEnhe kuna nini hapa?