Jacqueline Mpelembwa
New Member
- Sep 9, 2013
- 2
- 1
funguka basiHizi giaa....wenye akili zetu tumeshaeleaaaaa
hahaaaMbona hujamsifia jest kila wakati anajibu watu ki ustarabu hata wamkosee
hahaaa hiyo hiyo dictionary na mimi nipatie mkuu cjawahi kuionaKumbe hujamjua vuzuri bado. Mwanamama ana maneno kama dikshenare ya ahera
hahahahahahahahaahahahahahaahah, tehe tehe teheAcha ni kwambie Dina, hatuwezi kuwa wapole wote au wakali wote.
Kutofautina tabia kwetu huleta mvuto kwa mwenye tabia tofauti, ona Nahuja anatamani upole wa Sky lkn mimi ninatamani ubabe na ukali wake[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nawewe ulivyo kuna watu wanakuzimia balaa, kutofautiana kwetu huleta mvuto
NAHUJA
hahaa wewe upo kwenye sifa ya uchonganishi ..daahhh wewe unajua kuchochea ugomvi aiseeeNilijuaa nasifiwa mimi ,sifa hizi zitatuua, Kwa hiyo NAHUJA mi Nashuka namba ngapi vile, au Ndio nipo Kwenye zile sifa za wanaotukana sana
hahaaMimi Sipo mnanionea wivu
jamani usiseme hivyo mkuu stroke . Basi nampenda @wakudadavua, Barbarosa, Troll JF Ufipa-Kinondoni , Magonjwa Mtambuka Lizaboni japo siku hizi simuoni humu!!!Sisi Lumumba kuanzishiwa thread huwa inakuwa ni ya matusi tu. Hongera kwa aliyeanzishiwa mada.
Wananipiga majungu hasa hornet na mzigua kisa mimi mstaarabu jf yaan akitoka sky nafatia mimihahaa
Ngoja na mimi nifunguke, mimi huwa nakutamani tu basi.Shukran mkuu
Asante sana mkuuNgoja na mimi nifunguke, mimi huwa nakutamani tu basi.